MUNIRA AFISA MIKOPO SEHEMU YA 13


 SEHEMU YA 13

TULIPOISHIA

Rayan hakuweza kuvumilia, alinivuta kwa nguvu nikamsogelea halafu akanishika siwezi kufurukuta maana alikuwa ni mwanaume wa mazoezi


“Nini Rayan lakini?” nilimuuliza


Rayan alikuwa mpole, hata hakunijibu zaidi ya kunishika na kuhakikisha ameugeuza uso wangu ukatazamana na wa kwake kwa ukaribu, haongei chochote lakini ndio alikuwa anausogeza mdomo wake taratibu kukutanisha na wa kwangu


ENDELEA

Alikuwa na mvuto, mwanaume ambaye ana sifa za sura ninazozipenda kwenye maisha yangu, niliamua tu kufumba macho nimpe ulimi wangu maana najua ndio aliokuwa anautaka.


Alininyonya ulimi taratiibu kwa madaha, zaidi ya dakika tatu nahangaika na ulimi wake naye anahangaika na wa kwangu, mkono wangu ukiwa unapapasa kifua chake, naye mkono wake ukiwa unachezea taratibu maziwa yangu.


Nilisikia kulowa, hamu ya ajabu ikanipanda, nikaona nisije nikajirahisisha kwake kumbe ananitapeli, nikajitoa kwake na kurudi nyuma tukawa tunatazamana kwa hisia kali.


“Mi naondoka” nilisema kwa sauti ndogo iliyojaa mahaba ndani yake


“Okay good bye”


“Ok” nilisema na kufungua mlango wa gari nikashuka na kuondoka huku mwili wote ukinitetemeka.


Nilifungua geti nikazama ndani ya nyumba, nilipofika chumbani kwangu nilitupa pochi kwenye sofa na kuketi kitandani nikaanza kulifikiria lile busu jinsi lilivyokuwa na mahaba mazito


Nilishika tama nikawa namuwaza yeye tu, kama dakika tano nimeduwaa, nawaza kwanini lakini anaonekana anajua sana mapenzi ambayo mimi siku zote nilikuwa nayatamani..


“Hivi nawaza ujinga gani?” nilijisemea baada ya kuona namuwaza kwa muda mrefu sana nikainuka na kuvua nguo nataka nikaoge tena ili nilale zangu.


Nikaenda nikaoga halafu nilipomaliza nilirudi chumbani nikachukua simu na kupanda nayo kitandani nianze kusaka usingizi.


Nilipoitoa ufunguo hivi, nilikutana na ujumbe kutoka kwa Rayan, ulikuwa unasema hivi “Leo nimekutana na mwanamke ambaye ana ulimi mtamu kama sukari, asante sana umenifanya nikawa nakuwaza hadi kidogo nigongeshe gari jamani”


Nilitabasamu, kimoyo moyo nikajisemea “Yaani kumbe nilivyokuwa namuwaza naye ananiwaza hivyo hivyo mmmh” halafu nikamjibu ujumbe nikaandika “Mh jamani ulimi wenyewe sijui hata kunyonyana”


Nikajilaza huku bado nikiwa nawaza yule ni mtu ama jinni,


Usingizi ulinipitia, mpaka asubuhi nilipoamshwa na alarm ambayo nilikuwa nikiiweka kila siku iniamshe nikiwa naenda kazini nisije nikachelewa


“Jamani usingizi mtamu” niliwaza huku nikiangalia saa kwenye simu, ndo kwanza saa kumi na mbili na dakika moja, nikaamka kwa kusua sua maana uvivu ulikuwa umeshanibamba tayari, hata hivyo sikukuta SMS yoyote kutoka kwa Rayan, hivyo na mimi sikuhangaika kumtafuta asije akaniona nimeshakolea kwake.


Nilienda kupanda gari nikawa naelekea zangu kazini, nikiwa njiani akanipigia nikapokea


“Hallo Rayan”


“Daah, ndio ninashtuka usingizini saa hizi, anyway unaendeleaje?” aliniuliza


“Niko poa sana, ndio ninaelekea kazini now”


“Okay, I think nimekumiss sana”


“Hata mimi pia” nilisema


“Sawa basi ufanye mchakato tuweze kuonana maana khaaa wee mtoto wewe” aliniambia


“Nimefanyaje tena Rayan?”


“Mtamu sana” aliniambia


“Mtamu wakati hujanionja? Nikuulize swali Rayan?”


“Niulize tu”


“Oppppsss” nilivuta pumzi “Hivi kwanini ulisema unanipenda?”


“Nataka nikuoe mama” aliniambia


“Unioe? Khaa, mimi kuolewa si nishakuambia nina mchumba?”


“Sawa unaye….lakini mimi nahisi ndiye mume wako niliyeletwa”


“Hahahaahahaaaa” nilicheka sana “Nikuambie kitu Rayan, huniwezi  unajua Meshack ananihudumia kila kitu? Sasa wewe ndugu yangu hata bado mambo yako hayajakaa poa sema tu unataka utelezi yaishe”


“Hapana, aah, kama ukipata nafasi siku ya mapinduzi si wiki hii? Basi naomba tuonane kuanzia asubuhi tukae kutwa kuna kitu nitakueleza” aliniambia


“Really?”

“Yes”


“Sawa mimi nitakuja kukusikiliza, lakini siji nyumbani kwako sawa?” nilimuuliza


“Okay hamna shida tukutane popote unapotaka”


“Alright”


ITAENDELEA


GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA KUMI NA NNE (14)





Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group