MAAJABUA MGENI SEHEMU YA KUMI (10)


 Sehemu 10 🔞


Mama huyo alikuwa ni mama ambaye alikuwa anapenda vijana wadogo mpaka kero, yaani yeye kila Siku alikuwa anabadili vijana na hiyo ilitokana na kwamba alikuwa anajiweza kiuchumi kutokana na Mali alizo achiwa na mumewe.


Henry na Fatuma Walifika nyumbani kwa wakati tofauti tofauti, yaani mmoja alitangulia na mwingine alifuata kama hawakuwa pamoja hivi, ila Isabella alikuwa kanuna pale nyumbani mpaka siyo vizuri na kitu hicho Henry alikigundua.


Henry alivyo ingia tu chumbani kwake Isabella alifika dakika ile ile.


"Henry naona Sasa umeanza kunichezea, au unataka nimwambie Mzee mambo yako yote! Sasa kama hutaki taarifa zifike leo nalala na wewe utake usitake" Isabella akiwa kakunja sura kwa hasira alitoa vitisho.


"Isabella nimechoka kutishwa, we mwambie tu aisee, mambo gani kila Siku kutishana" Henry alijikuta tu naye anapatwa na hasira maana alikuwa kachoka kutishwa na Isabella kila Siku.


"Henry upo siliasi unataka nimwambie" Isabella alibaki katumbua macho, maana akili yake yote alijua lazima Henry ataanza kutetemeka na kutii kile anacho kitaka.


"Aiseee Mimi sijui kama unamwambia we kamwambie tu, Mimi siwezi kuishi kwa vitisho kila Siku na kama ni mapenzi Mimi ndo naamua nifanye au nisifanye na wewe" Henry aliongea kwa hasira baada ya hapo alimtoa Isabella kwa nguvu mule ndani.


"Henry usipo niomba msamaha utajutia kwa maamuzi yako nakwambia, nakupa masaa mawili usipo fanya hivyo Muda wa chakula cha usiku natoboa kila kitu" akiwa mlangoni Isabella alipiga mikwara ya kutosha huku akiwa ni kama anataka kulia.


"Eheeee Isabella kulikoni mbona makelele mlangoni Kwa mwenzako" Isabella akiwa pale mlangoni Mara Fatuma alifika na kuuliza, ila Isabella hakujibu kitu aliondoka kwa hasira tu.


"Henry kwani nini kinaendelea!!?" Fatuma ilibidi agonge mlango wa Henry alipo funguliwa ilibidi amuulize bebi wake, ila Henry hakujibu lolote.


Basi Muda ulizidi kusogea, kijana Henry alicho kifanya alichukua kimkoba chake na kuweka Nguo zake mbili tatu, Kisha alibeba na pesa zake ambazo alikuwa anatunza baada ya hapo aliondoka kimya kimya pale nyumbani bila kuaga Mtu na yote ilikuwa ni Hofu kutokana na vitisho vya Isabella.


Muda wa chakula ulifika, lakini kijana Henry hakuonekana pale nyumbani alitafutwa kila kona hakuonekana ila wengine wote walikuwepo.


"Huyu mpuuzi kachoka kazi naona, usiku huu kaenda wapi Sasa au kaanza kunywa pombe Siku hizi!" Mr madini alilalamika muno Siku hiyo, ila Cha ajabu familia nzima walionekana kumtetea kijana Henry isipo kuwa binti wa mwisho Edina yeye ndo alikuwa kimya tu, ila wengine wote walikuwa wanamtetea kijana huyo.


Siku hiyo ilipita pasina Henry kurudi nyumbani, yaani kila Mtu alichanganyikiwa kivyake, ila Isabella alianza kuhisi kwamba huwenda vile vitisho vyake ndo vimefanya Kijana wa watu akimbie.

Siku ya pili ilipita pasina Henry kuonekana pale nyumbani, binti Fatuma alijikuta hata chakula hakishuki kwa ajili ya kuto muona Henry yaani alikuwa kachanganyikiwa haswa.


"Isabella naomba uniambie Siku ile Kabla Henry hajatoweka nyumbani wewe ndo ulikuwa unamfokea pale mlangoni, naomba uniambie ulimwambia nini Henry mpaka akaondoka!?" Baada ya Siku tatu kupita Fatuma ilibidi Sasa ambane Isabella, yaani Kwa Jinsi Fatuma alivyo kuwa anauliza kwa jaziba mpaka Isabella alijikuta anaanza kuhisi kitu juu ya Fatuma na Henry.


"Fatuma Mimi sikumwambia kitu chochote" 


"Isabella najua kuna maneno mabaya ulimwambia"


"Alafu Fatuma mbona una machungu hivyo, wewe si ndo ulikuwa unamakataa Henry mwanzo kufanya Kazi hapa nyumbani au!!??"


"Isabella kaaa kimya hayakuhusu, eti hapa nyumbani kwani hapa nyumbani kwenu nakuuliza nyumbani kwenu hapa!? Alafu usijisahau kwamba hapa wewe ni mfanyakazi tu Muda wowote unaweza timuliwa sawa eeee!" Yaani Fatuma alikuwa kapaniki bila Sababu za msingi.


Kijana Henry alionekana kwenye moja ya Lodge akiwa katulia, kumbe Siku zote Henry alikuwa anakaa lodge na alikuwa anazunguka kutafuta Kazi nyingine, na akili yote ya Henry alijua kabisa lazima Isabella atakuwa alitoboa Siri yake.

Basi Henry aliendelea kutulia pale lodge huku akiwa amekaa sehemu anakunywa soda yake baridi.


"Kaka samahani unamuona yule pale Mama eti anaweza kuja kukaa na wewe hapa!?" Henry akiwa katulia zake Mara mhudumu alikuja kumuuliza na kweli Henry alikubali.

Henry alishangaa kuona Sura ya Mama ambayo amewahi kuiona Kabla na alikuwa siyo mwingine bali ni Mama Zena.


"Samahani kijana upo pekee yako hapa au kuna Mtu umekuja naye!?" Mama Zena baada ya kufika aliuliza.


"Uuuuuuu!! Mimi nakaa hapa hapa lodge nipo pekee Yangu kwani vipi Mama!?" Henry alijibu majibu ambayo yalifanya Mama Zena atoe meno yote njee.


"Nimefurahi tu kuwa na kijana mzuri kama wewe" Mama Zena alijikuta ameanza kuropoka tu, Henry alishangaa Mtu mzima yule akiwa anaropoka maneno ambayo hata haviendani.


"Samahani Mama Mimi siwezi kuwa na wewe, kwani huoni kama naweza kuwa mwanao!!?" Baada ya Henry kuelezwa na Mama yule lengo lake, Henry ilibidi agome, ila Henry alibaki katumbua Macho baada ya Mama yule kuchomoa kibunda Cha pesa.


"Sikiliza ukikubali kulala na Mimi kwa Usiku mmoja tu, hizi pesa zako zote nakupa na ukinifurahisha Zaidi nakuahidi hata nyumba ntakujengea!?" Henry aliambiwa maneno ambayo alibaki anacheka cheka tu, na Henry lilikuwa likitamkwa swala la pesa anakuwa Mtu mwingine kabisa.


Henry alijikuta anakubaliana kwenda kulala na Mama yule ambaye alikuwa anapenda vijana wadogo.


Baada ya kufika chumbani kwanza Mama yule alijibwaga kitandani huku akiwa kavaa kisiketi chake laini, baada ya kujibwaga upaja wote ulionekana huku ukiwa na michirizi midogo midogo.

Henry alijikuta mashine yake inapandwa na wazimu ndani ya suruali, kwanza ilibidi avue suruali yake na kubakiwa na boxer tu.


"Jamani kijana usiwe na haraka inabidi tukaoge kwanza alafu ndo tuendelee na mengine" Mama yule baada ya kuona kijana kama yupo fasta ilibidi aongee, ila Henry kwa mizuka ambayo alikuwa nayo hakutaka kusubiri.

Henry alimsogelea Mama yule ambaye alikuwa mnene kiasi chake, Henry alizamisha mkono mmoja ndani ya brauzi ambayo Mama yule alikuwa kavaa, baada ya hapo alibinya binya matiti makubwa ya Mama yule.


Mama Zena alijikuta kaanza kupuliza upepo maana alikuwa naye kaanza kupata mizuka, Henry aliingiza mkono mwingine kwenye utelezi wa Mama yule baada ya hapo alianza kucheza na kisimi Cha Mama yule kwa ustadi mkubwa.

Mama Zena bila kuambiwa alijikuta anachojoa nguo zake zote na kubakia kama alivyo, kutokana na Henry kujua kwamba Mama yule ana pesa za kutosha ilibidi afanye mambo ilimladi kumroga Mama yule.


Kwa Mara ya kwanza Henry alijikuta anaingia chumvini, yaani alianza kutumia ulimi wake kucheza na kisimi Cha Mama yule.



"Ehuuuu!! Aiiiiiiiii jamani tamu!!! Yesssssss bebi uuuuuuu" mama yule kwa Raha ambazo alikuwa anapata alijikuta anatoa miguno ambayo hata yeye alikuwa haijui na ndo ilikuwa Mara ya kwanza Mama huyo kufanyiwa hivyo tangia ayajue mapenzi.

Baada ya Henry kuhakikisha Mama yule kachanganyikiwa na yupo kwenye hali ya Sema lolote ntakupa, hapo ndo alichomoa mashine yake kwenye boxer.


Kwanza Mama Zena alibaki katumbua jicho maana tangia ayajue mapenzi na kuzaa watoto wawili alikuwa hajawahi kutana na gobore kama lile.

Henry alimlaza Mama yule kiubavu uvavu baada ya hapo alishika gobore lake na kulichomeka taratibu kwenye kinu cha Mama Zena ambacho kilikuwa kimejaa utelezi wa kutosha.


"Ashiiiiiiii!! taratibu jamani!! Aiiii dear taratibu mwenzako naumia! aiiiiiiiii jamani!!" Mama yule alianza kutoa kelele ambazo hazina rangi.


Henry baada ya kuona Damu imezidi kuzunguka kwa Kasi mwilini mwake hapo alianza kuchochea Sasa! Yaani Henry alikuwa anapampu kwa Kasi na nguvu kama yupo Kwenye mashindano.


Mama wa watu alipiga magori matatu mfululizo huku Henry yeye akiwa ndo analitafuta bao la pili, yaani ulifika Muda Mama Zena kelele za maumivu ndo zilianza kusikia, maana utelezi uliisha kabisa na Henry alikuwa bado hajamaliza.


"Jamani dear!! Ntakupa Siku nyingine maumia! Mwenzako!!Basi Baba!! aiiiiiiiii!!" Mama Zena alipiga makelele lakini haikusaidia, Henry alikuja kupumzika baada ya kupiga Gori la pili kwa kishindo kikubwa.


Mama Zena alibaki kajilaza kitandani huku shimo lake lote likiwa linawaka Moto, na alipata mpaka michubuko kabisa.


"Kijana umesomea wapi haya mambo, maana ulitaka kuniua mwenzako" Siku hiyo Mama Zena alipatikana haswa yaani alifanywa vile hajawahi fanywa, kimoyomoyo Mama Zena alijisemea kwamba lazima afanye Jambo juu ya kijana Henry ilimladi asije akamkimbia.


Basi usiku huo wawili hao walilala pamoja, na Mama Zena kiukweli Siku hiyo alipewa burudani ambazo alikuwa hajui kama zipo duniani, yaani mpaka inafika asubuhi Mama huyo alikuwa yupo hoi.

Basi Mama Zena alimuachia Henry pesa ya kutosha na alimwambia baadae anarudi tena ili waje wazungumze mengi Zaidi.


"Henry nakuahidi utakuwa miongoni mwa vijana matajiri hapa mjini, na nipo tayari Mali Zangu zote kukuandikisha wewe kama tu utafanya kila kitu ambacho Mimi nataka" hayo ni miongoni mwa maneno matamu ambayo Henry alipewa na Mama Zena Kabla ya Mama huyo kuondoka na kwenda kusimamia biashara zake  maana Mama huo alikuwa na miradi Mingi tu ambayo alikuwa anasimamia.


Basi Henry alibaki lodge akiwa anaendelea kula vyuku kwa Raha zake, ilipo fika Mida ya mchana Henry alianza kuzunguka zunguka mitaani huku akiwa hana hata wasiwasi wa maisha.


"Henry!! We Henry wewe!!?" Kijana huyo akiwa anazunguka huku na kule Mara alisikia sauti ya Mtu ikiwa inamuita kwa nyuma, Henry alipo geuka alishangaa kumuona Mama Filomena.


Je ipi Hatima ya kijana Henry!?


Itaendelea..........


Usikose sehemu ya 1

GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA KUMI NA MOJA (11)



Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group