MAAJABU YA MGENI SEHEMU YA KUMI NA MBILI (12)


 Sehemu 12 🔞


Mama Filomena baada ya kufika nyumbani alipitiliza Moja kwa moja chumbani kwa Henry ili kujua kijana huyo kwa nini hajatokea sehemu walipo kubaliana.


"Yesssssss!! Dear nakojoa! nakojoa Baba!! Jamani Tamu! tamu dear!! Yesssssss!! Nakupenda Henry!!! Ashiiiiiiii!!" Mama Filomena baada ya kufika mlangoni kwa Henry alisikia sauti za mahaba kutoka kule ndani, yaani mechi ilikuwa imekolea mpaka so vizuri, na Mama Filomena aligundua kwamba lazima ni binti yake Fatuma ndo anafanywa kule ndani.

Hicho kitu kilimuuma muno Mama huyo yaani alitamani moyo wake kama ndo upasuke vile, alitamani aingie kule ndani kuvuruga ila ilibidi tu avunge na kurudi chumbani kwake, kutokana na Jinsi ambavyo Mama yule alikuwa kapandishwa wadudu na zile kelele za mahaba alizo sikia, basi alijikuta anaishia kujichokonoa mwenyewe kule chumbani kwake.


Palikucha mpaka asubuhi, Fatuma Siku hiyo alinogewa mpaka chuoni hakwenda, yaani alikuwa hataki kumuachia kijana Henry.


"Duuuuuu!!! Sasa hapa inabidi nifanye Jambo huyu kijana nimtafutie sehemu ya Siri ya kukaa lasivyo ataharibu kila kitu" Mama Filomena baada ya kuona mambo si mambo naye alianza kujiwazia kivyake.


Huku mtaani Mama Zena naye alikuwa kamsakaa Henry mpaka kijasho kilikuwa kinamtoka, yaani Mama Zena alikuwa anatamani hata kulia, bahati mbaya namba ya Henry alikuwa hana kwenye Simu yake.

Mama Zena baada ya kukumbuka kwamba kuna Siku amewahi kutana na Fatuma na Fatuma akamwambia Kijana yule ni mfanyakazi wao, basi ilibidi Sasa Mama huyo afanye mpango wa kumfuata binti yake chuo ili akamuulize nyumbani kwa kina Fatuma ni wapi maana yeye alikuwa hajui.


Na kipindi hicho Binti yake ambaye ni Zena alikuwa karudi hosteli, yaani Zena alikuwa haeleweki Mara aende hosteli baada ya Wiki ngapi anarudi nyumbani yaani alikuwa hasomeki.


Basi yakiwa ni majira ya mchana, Mama yule Moja kwa moja alienda mpaka chuoni kwa kina Zena na alianza kumuuliza binti yake huyo pale chuoni, kwanza ilibidi aelekee kuuliza kwenye mahosteli ya wanafunzi.


"Duuuuuu!! Mama Zena mbona hajawahi kaaa hosteli, alafu Siku hizi hata simuelewi maana ana kuja chuo kwa kujisikia Saiz ana kama Wiki mbili hajafika chuoni na Simu Zangu hanipokelei Muda mwingine " hayo yalikuwa ni maelezo ambayo Mama Zena aliyapata kutoka kwa Mtu ambaye alioneshwa kwamba ndo rafiki mkubwa wa Zena pale chuoni.


"Duuuu!! Kuna binti mmoja hivi anaitwa Fatuma unamjua maana naye ni rafiki yake kuna kipindi walikuwa wanakuja naye nyumbani!?" Mama Filomena aliuliza.


"Uuuuuuu!! Fatuma ndiyo namjua ila leo chuo sijamuona,ila pacha wake Filomena yeye yupo kama unamtaka tukuitie, ila sidhani kama nao wanajua ni wapi Zena yupo, maana nao juzi walikuwa wananiuliza Mimi " hayo yalikuwa ni maelezo ya binti yule ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Zena pale chuo.

Mama Zena alijikuta kijasho chembamba kinaanza kumtoka, yaani kazi ilibadilika gafla, badala ya kuanza kumtafuta mchepuko wake kijana Henry alijikuta ameanza Sasa kumtafuta binti yake.


"Fenia! Kwani huyo Mama anamuuliza nani!? Nimesikia kama mnataja Jina la Zena!??" Wakiwa wapo pale huku mama Zena anakuna kichwa sehemu ya kumpatia mwanae, Mara kuna kijana alifika.


"Ndiyo! Huyu ni Mama yake na Zena alikuwa anamuulizia, eti Zena alimwambia anakaa hosteli!" Binti yule alijibu.


"Duuuuuu!! Aiseee majuzi kuna hoteli Moja kule mji Mpya nimeenda, nilimuona Zena kwa Macho Yangu, yupo na mbaba mmoja hivi maji ya kunde mfupi kidogo alafu mbavu mbavu" kijana yule alitoa maelezo ambayo yalifanya Mama Zena atumbue macho.


"Ayubu unasema kweli!! Ulimuona Zena mwenyewe kabisa!??"


"Haaaaaa!! Kwa hiyo Fenia unataka useme Mimi simjui Zena!? Ni yeye nilimuona kabisa kwa macho Yangu tena siyo Siku Moja Siku kama tano hivi namuona kwenye hoteli ile yupo na yule mbaba " kijana kwa Jina la ayubu alielezea vizuri kwa msisitizo.


"Uuuuuuu!! Yubu! Wewe hotelini Siku zote tano ulikuwa unaenda kufanya nini!?" Akiwa anacheka binti Fenia aliuliza.


"Bwana eeeeee!! Hiyo haikuhusu, ukijua nilikuwa nafanya nini Sasa wewe itakusaidia nini, ila huo ndo ukweli Zena nilimuona kule hata hivi atakuwa yupo kule " kijana yule alitoa maelezo na kuondoka.

Mama Zena alijikuta anatokwa na kijasho chembamba, ilibidi Muda ule ule apande Gari lake na kuelekea huko aliko ambiwa binti yake ndo aliko onekana.


Nusu saa tu Mama Zena alifika kwenye hoteli hiyo na aliegesha Gari yake sehemu ya kupaki magari, baada ya hapo alizama ndani.

Mama Zena alienda mapokezi kuuliza kuhusu binti yake, maana alikuwa ana picha yake kwenye Simu.


"Samahani mhudumu hujamuonapo huyu binti hapa hotelini kwenu!?" Mama Zena akiwa anaonesha picha ya Zena aliuliza.


"Uuuuuuu!! Mama kwani wewe ni nani yake!??"mhudumu alishituka alafu aliuliza.


"Mimi ni Mama yake mzazi!" 


"Uuuuuuu!!! Mama basi wewe rudi nyumbani huyo Mtu akija tena tutamwambia alikuwa anatafutwa " mhudumu alitoa maelezo ambayo alionekana kabisa anadanganya na Mama Zena aligundua hilo.


"Binti ebu sema ukweli huyu Mtu yupo kwenye hii hoteli au hayupo!?"


"Mama nielewe kwa Saiz hayupo ila Siku kadhaa alikuwepo, akirudi tena tutamupa maelezo atakutafuta au kama vipi acha namba ya Simu " mhudumu yule alionekana ana Linda Siri ya wateja wake na ndo lilikuwa Sharti la Kazi yake kwamba Siri za wateja zilindwe.


"We binti mpuuzi nini yaani niache namba ya Nini Sasa, we kwa akili yako unahisi namba ya binti Yangu sina, Sasa subiri na umwambie kabisa huyo mpuuzi anaye mdanganya mwanangu dawa yake inachemka" Mama Zena alichimba mkwara wa kutosha, baada ya hapo alitoka, ila Mama huyo anavyo toka na Gari yake, naye Binti yake Zena na bwana yake ndo walikuwa wanaingia na Gari ya kifahari pale getini, kwa hiyo ni kama walipishana.


Siku Hiyo mama Zena alirudi nyumbani akiwa kavurugwa muno, alikaa pale nyumbani mpaka majira ya Jioni aliona hapakaliki, aliamua kurudi tena hotelini ili akamtafute binti yake, maana aliamini kabisa yule mhudumu kamdanganya.


Jioni Hiyo hiyo Filomena naye alimpigia Simu Henry na kumuomba wakutane sehemu ili mladi wakapeane walau utelezi kidogo.


Kweli Henry alifanya Mbinu za hapa na pale amlimtoroka Fatuma pale nyumbani, maana Siku hiyo Fatuma alikuwa kamganda Henry Muda wote pale nyumbani, yaani hata chuoni hakwenda.


"Duuuu!! Filomena mbona leo umekuja mbali hivi vipi kwenye ile lodge yetu!?" baada ya wawili hao kukutana Henry ilibidi aulize.


"Uuuuuuu!! Henry kwenye ile lodge ni rahisi kugundulika, Mimi sitaki ajue Mtu mahusiano yetu ila kikubwa uniahidi tu kwamba utanioa Mimi na siyo Fatuma" Filomena alikuwa anaongea kwa hisia mpaka anatamani kulia.

Basi Henry aliahidi kwamba atamuoa na anampenda, na Henry alikuwa kajua namna ya kucheza na akili za hao wanawake wote.

Basi wawili hao ilibidi waongozane mpaka kwenye hoteli ya kifahari ambayo ilikuwa imejengwa kwenye maeneo hayo ambapo ilikuwa ni kama nje mji ambako mji Mpya ndo ulikuwa unajengwa.



Ikiwa ni Jioni hiyo hiyo kijua kikiwa ndo kinazama, Mama Zena naye aliamua kurudi hotelini kule kwenda kumcheki binti yake kwa Mara nyingine.

Basi Mama Zena alifika mpaka kwenye hoteli hiyo na kupaki Gari yake, wakati huo huo Gari nyingine ambayo ndo walikuwa wamepanda Filomena na Henry nayo ndo ilikuwa inaingia pale hotelini.


Mama Zena alipo shuka tu kwenye Gari alipo piga macho kwenye gadeni ya pale hotelini alimuona binti yake Zena akiwa anacheka kwa Furaha na Baba mmoja ambaye yeye alikuwa hajawahi muona Kabla, kwanza ilibidi asogee vizuri ili aone kama anacho kiona ni kweli au mawenge tu.

Muda huo Filomena na Henry nao ndo walikuwa wamepaki Gari yao pale parking na wanashuka kwa ajili ya kwenda kupata chumba kwenye hoteli hiyo, na Siku hiyo Filomena alikuwa kapanga kulala na Henry kabisa bila kujali chochote kitakacho tokea.


Utamu unazidi kukolea, hapa kuna mambo yanaenda kutokea!? usikose sehemu ijayo.


Itaendelea ..........


Tukutane sehemu ya 13


GUSA HAPA KUSOMA  SEHEMU YA KUMI NA TATU (13)


Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group