Sehemu 16 🔞
Basi Zena na Fatuma dakika ile ile walitoka pale chuoni kuelekea huko waliko pewa taarifa kwamba wawili hao wameonekana.
Nusu Saa walifika eneo husika na walimkuta Mtu mwenyewe aliye wapa taarifa.
"Eheeee vipi Abuu ebu nambia Mama Yangu kweli umemuona!??" Baada ya kufika Zena aliuliza, kumbe Kijana aliye toa umbea alikuwa ni Abuu yule aliye pelekwaga Kituoni na Mama Zena.
"Zena kwa hiyo huniamini au, Mama yako nimemuona ndiyo wanakaa kwenye nyumba Moja hapo nyuma geti jeusi alafu kwa nje ile nyumba Ina rangi ya njano, na muda huu kaingia kwenye ile kefu na kijamaa chake" Abuu alielezea huku akionekana ana hasira muno na Mama Zena.
"Uuuuuuu!! Kijamaa kwani humjui na ni Mtu mzima au!?"
"Kijamaa Fulani hivi kifara fara tu, cheusi hivi" Abuu alielezea kwa kumkandia Henry.
Basi ilibidi Zena na Fatuma waelekee mpaka kwenye ile kefu ya chakula ambapo ndo ilisadikika Mama Zena na Henry wameingia.
Wakati wanaingia tu ndani, Henry na Mama Zena nao ndo walikuwa wanatoka yaani uso kwa Macho walikutana Mtu nne pale mlangoni, kwanza Fatuma mapigo ya Moyo yalianza kubadili mwelekeo baada ya kumuona Henry wake kwa Mara nyingine.
Naye Henry alibaki katumbua jicho baada ya kumuona Fatuma mbele yake na pia kuona Sura ya Zena pale mbele yake maana Mara ya mwisho Sura hiyo aliiona ikiwa na Mr madini hotelini, pia naye Mama Zena alikuwa anashangaa kivyake baada ya kumuona mwanae yupo mbele yake, yaani kiufupi wote walikuwa wanashanga!
"Mama!!! Yaani umeamua kututelekeza watoto wako kwa ajili ya hiki kikojozi!??" Zena akiwa kakasirika alimuuliza Mama yake.
"Weweeeee!! Zena tafadhali shoga Yangu Henry siyo kikojozi, kama hujui huyu ndo yule mpenzi Wangu nilikuhadithia" Fatuma ilibidi aingilie na kumkatisha rafiki yake.
"Heeeee!!! Maajabu Sasa Fatuma mpenzi wako na Mama Yangu wapi na wapi, Mama hiki unacho kifanya kiukweli unatukosea wanao siyo sahihi, yaani unahama nyumbani kwa Sababu ya mwanaume, tena mwanaume mwenyewe ana umri kama wa mwanao" Zena aliongea kwa kulalamika.
"Zena naomba adabu iwepo sawa eeee, sitaki unichoreshe mtaani ebu tupishe tuondoke mengine tutaongea nyumbani nikirudi" Mama Zena akiwa anaona aibu kutokana na maneno ya binti yake alijikaza na kuongea.
"Weweeeee!! Muende wapi, Labda nifie hapa, nakwambia huondoki na bwana yangu, kwa taarifa yako nimemtafuta Henry mwezi mzima, na leo ndo namuona hapa alafu kilaini tu uondoke naye sikubali labda muniue" Fatuma akiwa siliasi aliongea kauli ambayo ilifanya Henry na Mama Zena waangaliane.
"Fatuma Mimi na wewe tushamalizana naomba basi niache niondoke" Henry ili kumfurahisha Mama Zena ambaye kwa kipindi hicho ndo alikuwa kama Boss wake ilibidi amkatae Fatuma mchana kweupe.
"Henry Mimi sitaki kusikia chochote, Mimi ninacho jua hatujaachana na haiwezekani uniache kwa Sababu ya Mama Mtu mzima kama huyu, Henry huko ni kuoneana" Fatuma baada ya kauli ya Henry machozi yalianza kumlenga lenga huku akiwa analalamika.
Kiukweli Henry alikuwa anamkubali muno Fatuma na kumpenda ila aliogopa kuongea chochote kutokana na kuwepo kwa Mama Zena palee.
Basi ilibidi Mama Zena na Henry waanze kuondoka ila Fatuma na Zena hawakuacha kufuata nyuma.
"We kaka akili unazo kweli, yaani unamuacha rafiki Yangu Kwa ajili Mama Yangu, Sasa sikiliza kama hutaki matatizo naomba achana na Mama Yangu la sivyo huu mji utaukimbia" Zena alianza kutupa vitisho kwa Henry Sasa, huku wakiwa wanafuata nyuma nyuma.
"We Dada ndo ukae kimya rafiki yupi unaye mzungumzia, au unafikri Siri yako siijui, kwa taarifa yako kila kitu chako najua kazi yako kutoka na wanaume wa watu na kukaa nao mahotelini au wewe yako huyaoni!?" Henry ilibidi amtolee uvivu Zena, binti zena baada ya kupewa makavu yake kwanza alitulia na kuwa mdogo kama pilitoni, maana aliona akizidi kuchokoza basi rafiki yake Fatuma atajua Siri kwamba yeye ndo anatembea na Baba yake.
"Fatuma achana nao tuondoke ila ukweli washaambiwa" Zena ilibidi apoe.
"Zena wewe kama unaondoka ondoka ila Mimi siondoki bila Henry bora nife, sitaki tena sitaki" Fatuma akiwa anamwaga chozi alizidi kufuata nyuma, Zena yeye aliamua kurudi tu nyumbani.
Fatuma alifuata mpaka pale wanapo kaa wawili hao, ila walifunga geti na kumsukumia nje, kiukweli binti wa watu alilia pale getini kwa huruma isiyo ya kawaida, yaani alibembeleza kila aina ya maneno kwa Henry ila haikusaidia.
Basi ilibidi Fatuma atulie pale pale nje asubiri kama Henry atatoka au laa!! Masaa yalisogea mpaka kigiza kiliingia ila Fatuma bado alikuwa katulia pale pale nje, bahati nzuri Fatuma akiwa kaegemea ukuta huku kachoka Mara aliona gari linatoka pale getini, na alipo piga macho kwenye Gari alimuona Mama zena yupo pekee yake, hapo kwanza ilibidi Fatuma ajifiche ili Mama yule asimuone na kweli mpaka Gari inaondoka pale Fatuma hakuonekana.
Baada ya Mama Zena kuondoka Fatuma alianza kugonga geti upya, na ndani ya dakika mbili Henry alifungua geti.
"Duuuuuu!! Fatuma inamaana tokea mchana upo hapa hapa nje hujaondoka!?"Henry alishangaa kweli kuona Fatuma bado yupo.
"Henry sitaki kukupoteza tena mwenzako naomba usiniambie kwamba hunitaki please nipo tayari kufanya Lolote kwa ajili yako eti" Fatuma alijikuta anaanza kulia upya.
"Fatuma sema ukweli hata Mimi nakupenda, ila mwenzako nipo na huyu Mama Kwa ajili ya masirahi tu na Siyo kingine, si unajua mazingira gani niliyo toka nayo pale kwenu kwa hiyo nisingeweza kuishi mjini bila huyu Mama" Henry alijitetea, Fatuma alijihisi mwepesi baada ya kusikia maneno yale ya Henry.
Basi Fatuma alikaribishwa ndani na Henry.
"Henry kwani Mama Zena harudi tena!??"
"Uuuuuuu!! Kaenda kuwatuliza watoto zake eti Kasema anarudi Kesho kwa hiyo usiwe na wasiwasi"
"Henry achana naye basi Mimi ntajitahidi kupata pesa ili niweze kukupa utafute sehemu nyingine ya kukaa, kwani Henry wewe hujisikii aibu kutembea na Mtu mzima kama yule!?"
"Uuuuuuu!! Fatuma sidhani kama unaweza kunipa fedha anazo nipa yeye, na najua wewe pesa zako ni mpaka ukaombe kwa wazazi kitu ambacho ni ngumu, ila kitu ambacho Fatuma nataka nikuahidi penzi langu kwako halitokufa, ila naomba nivumilie hata miezi mingapi nichume chume kwa huyu mama, maana siyo Siku nyingi Kasema kuna mradi atanimilikisha"
"Daaaaa!! Henry mwenzako wivu ujue, basi Henry Jitahidi kutumia kinga ukiwa naye, si unajua magonjwa Siku hizi mengi"
"Kuhusu hilo usijali Fatuma Wangu, kitu Cha kujua wewe ndo Mama watoto Wangu ajaye"
"Naomba iwe hivyo Henry na usije nikimbia tena!??"
"Eheeee!! Vipi Baba yako baada ya Mimi kuondoka alisemaje, hanitafuti tena!??"
"Uuuuuuu!!! Anazo hata nguvu za kukutafuta basi, maana Mama alimchana makavu kuhusu tabia yake, nakwambia mpaka leo hajawahi rudia kutusema tena!!"
Basi Henry na Dulla walipiga stori na kufurahi Siku hiyo, yaani Fatuma alijihisi uzito umeongezeka ndani ya Siku moja.
Siku hiyo wawili hao walicheza mechi kali kweli tena kwa kujiachia kabisa.
Hatimaye ilifika asubuhi, ila kisanga kilianza Fatuma aligoma kuondoka pale nyumbani.
"Fatuma kuwa mwelewa basi, si tulikubaliana lakini wewe unafikri Mama Zena akikukuta hapa nyumbani itakuwaje!?"
"Henry kwani we unamuogopa huyo Mama mumeoana, basi akija Mimi ntajificha, mavyumba si yapo mengi tu tu humu ndani" Fatuma alikuwa kanogewa kukaa na Henry yaani alikuwa hataki kubanduka miguuni mwa kijana Henry.
"Lakini Fatuma....." Kabla hata Henry hajamaliza kuongea Mara honi ilipigwa getini na hiyo ilikuwa ni ishara ya kwamba Mama Zena kafika.
"Fatuma ukinichonganisha na Mama Zena, Mimi na wewe ndo basi tena, kama ulivyo ahidi mwenyewe naomba kajifiche kwenye chumba kile pale naomba usitoke mpaka pale mazingira yatakapo ruhusa" Henry aliongea sauti ya Chini chini.
"Henry usijali Mimi ntajificha!!" Fatuma alijibu kinyonge na kweli alienda kujificha ila roho ilikuwa inamuuma kweli kweli, yaani Henry ni wake alafu anakuwa hana uhuru naye.
Basi Henry alifungua geti na Mama Zena aliingia, yaani walipo fika tu sebuleni mabusu yalianzia pale pale.
"Duuuu!! Mwenzako sijalala na wewe Siku Moja nahisi kama Mwaka hivi!?!" Mama Zena akiwa kamkumbatia kijana Henry kwa hisia aliongea.
"Hata Mimi dear!!" Henry naye alijibu.
"Umwaaaaa!!! Nakupenda Sana Henry " Mama Zena alipiga bonge la busu,. Na yote hayo Fatuma alikuwa anayasikia akiwa kajifungia mule chumbani.
"Jamani dear si tutafanya hata baadae subiri kwanza!!" Henry alianza kulalamika kuonesha kwamba Mama Zena anataka kitu.
"Aaaaa!! Henry nipige hata kimoja basi mwili ukae sawa, maana sijazoea Mimi kukaa na ukakasi hivi!!" Mama Zena akiwa anatoa gauni kake aliongea.
Basi wawili wale pale pale sebuleni walianza kunyegeshana kwa hisia huku Henry tayari mashine yake ikiwa tayari Kwa kusaga na kukoboa Japo kuwa alikuwa na uchovu wa kupeana na Fatuma usiku kucha.
"Ashiiiiiiii!! Yesssssss!! Henry ongeza sipidi jamani, yesssssss tamu jamani!! Henry sugua Sana basi jamani" shughuli ilianza huku Mama Zena akiwa anaona sipidi ya kijana haitoshi na kweli Henry alikuwa anafanya kwa uchovu kwa Sababu alikuwa katumia nguvu kubwa muno na Fatuma usiku.
Muda huo shughuli hiyo inaendelea pale sebuleni na miguno ya mahaba ikiwa imepamba Moto, Fatuma alikuwa anasikia kule chumbani yaani Moyo ulikuwa unamuuma nusura ya kupasuka, alijikuta Sasa kaanza kupata mawazo ya kutoka huku akijisemea kwamba liwalo na liwe.
Je Fatuma akitoka kipi kitajiri!??
Itaendelea........
Usikose sehemu ya 17
GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA KUMI NA SABA (17)
