Sehemu 23 🔞
Huku nyumbani kwa kina Fatuma mambo yalikuwa yamejibu, Fatuma alikuwa tayari kajulikana kwamba ana ujauzito na baada ya kubanwa na wazazi wake Fatuma hakutaka kuficha alimtaja Henry kama ndo mhusika wa ule ujauzito.
"Huuu upumbavu haiwezekani yaani yule mpumbavu ndo ulikubali kubeba ujauzito wake, hivi nyie watoto muna Nini lakini!?" Baada ya Mr Madini kugundua Fatuma kabeba ujauzito wa Henry alibaki akitukana na kulalamika hovyo, ila ndo hivyo ilikuwa ishatokea na ilikuwa haina Namna.
Huku nyumbani kwa kina Zena Siku hiyo Zena alikuwa kaelekea chuoni na mdogo wake alikuwa kaelekea shuleni, pale nyumbani alikuwepo Mama Zena na Henry tu, Siku hiyo uvumilivu ulimshinda Mama Zena alijikuta tu tamaa imemuingia ya kufanya ngono na kijana Henry.
"Henry kwa hiyo ndo uliamuaga kuniacha!?" Basi wakiwa pale sebuleni Mama Zena alianzisha Mada ya kumvuta Henry.
"Aaaaa!! Lakini Mama Zena wewe si ndo ulinifukuza ama!?"
"Henry achana na yale Mimi Naomba kidogo basi mwenzako nina nyege kama zote, yaani nina Muda mrefu sijakunwa ujue" Mama Zena wala hakujivunga.
"Uuuuuuu!! Mama Zena lakini wewe si ulimwahidi mwanao kwamba heshima itakuwepo, inakuwaje tena? unafikri akijua itakuwaje!?" Henry naye alijibu na majibu yake yalikuwa yanaonesha kabisa kwamba naye anatamani.
Basi Mama Zena hakuongea mengi alimsogelea Henry pale alipo kuwa kakaa, baada ya hapo alianza kumpapasa kimahaba, Henry naye hakujivunga alionesha ushirikiano.
Wawili hao baada ya kuona Sasa mambo yameiva walikokotana mpaka chumbani, baada ya hapo zilisikika tu sauti za mahaba tokea chumbani, na Muda huo Zena alikuwa ndo anarudi tokea chuoni.
Zena baada ya kuingia tu sebuleni kwanza aliona kwenye sofa kuna Dela la Mama yake, alipo angalia pembeni aliona kuna shati la Henry, hapo Zena alihisi kitu.
"Ashiiiiiiii!! Jamani tamu yesssssss!! dear hivyo hivyo!! tamu jamani nakojoa ashiiiiiiii!!" Akiwa pale sebuleni kwa mbaali alianza kusikia sauti za watu kuzagamuana chumbani, kwanza ilibidi Zena asogee kujithibitishia kama ni kweli au kasikia Vinaya.
Zena roho ilimuuma kweli baada ya kugundua kile kinacho endelea kule chumbani kati ya Mama yake na Henry.
"Kwichi kwichi kwichi!!" Sauti za vitanda tu zilibaki zinasikika tu masikioni mwa Zena, yaani mapigo ya Moyo yalikuwa yamebadili welekeo.
Zena ilibidi atoke pale nyumbani bila hata kuwashitua, Siku hiyo Zena aliamua kunywa pombe Kali akiwa anaamini itampotezea mawazo, yaani Zena alipelekwa nyumbani kwa kubebwa na wanao mfahamu baada ya kufikishwa nyumbani alifikia Kulala usingizi tu.
Basi kulikucha asubuhi Zena ndo alikurupuka, alivyo kumbuka ya jana yake alihisi Moyo kuuma muno.
"Zena ilikuwaje mpaka ukanywa pombe vile!!? Kwanza lini umeanza kunywa pombe Mama Yangu!??" Basi Mama Zena alimfuata kule kule chumbani na kuanza kumswalika binti yake maswali, ila Zena aliishia kujibu tu kwamba ni swala la Kawaida.
Basi masaa yalisogea ilivyo fika mchana Zena alikuja na maada ambayo ilifanya Mama yake abaki katumbua jicho.
"Mama nataka nifanye mpango Wiki lijalo nihame na Henry hapa mjini" Zena Hiyo ni maada ambayo alikuwa kaileta.
"Heeeee uhame na Henry kwenda wapi na vipi kuhusu chuo!?"
"Mama chuo Mimi naacha, utanipa tu mtaji nianze biashara Zangu, kuhusu wapi tutahamia hiyo Siri Yangu" Zena alikuwa anaongea kwa usiliasi mpaka Mama Zena alishindwa kuelewa kwamba binti yake kapatwa na nini.
"Zena hayo maamuzi ya kipumbavu sipendi, chuo utamaliza na hapa nyumbani huondoki, Labda Mimi kama Siyo Mama yako, naona Sasa unataka uanze kunipanda kichwani!" Mama Zena ilibidi Sasa awe mkali kama Mama.
"Kwa hiyo Mama unataka niendelee kukaa hapa nyumbani na bwana Yangu ili wewe uendelee kulala naye siyo!? Mama Mimi sitaki tena sitaki kabisa" Zena chozi lilianza kumtoka na alishindwa kuvumilia aliamua kumchana makavu Mama yake.
Basi Mama Zena alibaki kapoa kama kamwagiwa maji vile, kwanza aliona nyumbani pamekuwa pa moto aliamua kuondoka.
Zilipita Siku kadhaa huku nyumbani kwa kina Fatuma mambo yalizidi kuwa Moto, maana Mama Filomena aligundua binti yake Filomena naye ni mjamzito.
"Filomena ebu naomba nambie ukweli Mama, wewe una mimba!?" Basi siku hiyo mchana Mama Filomena aliamua kumbana binti yake na kweli Filomena alikubali kwamba ana ujauzito.
Mama Filomena alibaki kachoka pale alipo ambiwa ule ujauzito ni wa Henry, yaani alichanganyikiwa isivyo Kawaida.
"Filomena naomba nisikilize mwanangu kwanza kabisa naomba hii iwe Siri Yangu Mimi na wewe, kitu kingine hapa kuna mambo mawili either tafuta Mtu wa kumsingizia huo ujauzito au katoe!, Lasivyo kinacho fuata ni aibu" Mama Filomena ilibidi ampashe binti yake maneno.
"Uuuuuuu!! Mama Mimi siwezi kiukweli na Mimi ntamsingizia nani sina mwanaume yeyote Ambaye nimewahi lala naye Zaidi ya Henry!?" Filomena alikuwa hataki kabisa.
"Filomena acha upumbavu ujauzito una Wiki tatu huo, wewe tafuta mwanaume yeyote unaye ona anakufaa lala naye na huyo ndo atakuwa mwenye huo ujauzito, we unafikri tutaweka wapi sura zetu ikijulikana kwamba wote wewe na Fatuma mumepewa ujauzito na Mtu mmoja!?"
"Mama Mungu ndo anaye panga Hatima Mimi siwezi fanya unavyo taka wewe, kikubwa Henry ndo ataamua anioe Mimi au amuoe Fatuma, ila ukweli utabaki pale pale kwamba Mtoto ni wa Henry, kwa mfano unafikri nikifanya hivyo unavyo sema Mimi mwanangu akizaliwa atakuja kunionaje!?"Filomena alikuwa mbishi kweli kweli.
"Filomena! Filomena sitaki unitibue sawa eeee! Kama unaona hayo yote hayawezekani huo ujauzito katoe basi" Mama Filomena aliongea kwa sauti ya ukali na kufoka, na bahati mbaya Mr madini ndo alikuwa kaingia.
"Heeee heeeee!! Nimesikia vibaya au ni kweli, inamaana Filomena naye ana mimba!??" Mr madini aliuliza kwa jaziba huku akiwa kasimama.
"Baba Filomena umesikia vibaya nawe tulikuwa tunamzungumzia Fatuma" mama Filomena ilibidi Sasa adanganye huku akiwa anajichekesha.
"Mama Filomena usinione Mimi mjinga, kwa masikio Yangu mwenyewe nimesikia unamwambia Mtoto akatoe ujauzito, Filomena ebu naomba nambie ukweli Kabla sijaanza kukushushia kipigo" Mr madini alichafukwa kweli kweli, baada ya kuona Filomena yupo kimya bwana mkubwa alivuta mkanda na kuanza kumuwasha nao binti yake.
Mama Filomena alipo ingilia naye alichapika vya kutosha.
Filomena alijikuta anaropoka ukweli kwamba ana ujauzito mbele ya Baba yake.
Mr madini baada ya kuambiwa vile alichoka haswa, yaani alijikuta nguvu zimemuishia.
"Eheeee mpuuzi Gani huyo kakupa huo ujauzito, ebu mtaje haraka!!" Mr madini aliuliza.
Ila Mama Filomena alikuwa anamkonyeza binti yake kwamba asijaribu kumtaja Henry maana ataharibu kila kitu.
"Filomena inamaana huna Jibu ama? nakuuliza aliye kupatia huo mzigo ni nani!??" Mr madini alipiga Meza kwa hasira na kuuliza.
"Aaaaa!! Baba Filomena nimejaribu kumuuliza, ila Cha ajabu anasema eti hamjui walikutana tu Siku ngapi na mwanaume mwenyewe alikuwa wa Mkoani huko!" Mama Filomena ilibidi Sasa amjibie Binti yake, maana alimuona Filomena kaanza kupata wenge akiwa anaonesha dalili ya kumtaja Henry.
"Mama Filomena sijakuuliza wewe, naomba kaa kimya sawa eeee" Mr madini alikuwa kakasirika mpaka jicho lilikuwa limeanza kubadili, na dakika hiyo Hiyo Fatuma naye aliingia ndani huku akiwa anashangaa shangaa, maana alikuta Filomena ni kama yupo kwenye hali ya majonzi.
"Filomena naomba nijibu Kabla mashetani Yangu hayajapanda, huo ujauzito kakupa nani!??" Mr madini aliuliza tena kwa Mara nyingine, hapo Fatuma naye ndo alibaki anashangaa kwamba Filomena naye ni mjamzito, na Fatuma mapigo ya Moyo yalianza kwenda sipidi, maana alikuwa anajua Siri za ndugu yake Zote.
Yaani alikuwa anajua kwamba Filomena hajawahi lala na mwanaume yeyote Zaid ya Henry, kwa hiyo alipo sikia swala la ujauzito alijua kabisa ni Henry.
"Filomena ebu naomba tuzungumze nje Baba usijali ntamuhoji Mimi na ataniambia tu ukweli" ilibidi Sasa Fatuma atumie akili baada ya kugundua ile hali.
"Fatuma sitaki uniletee ujinga, kwamba umhoji wewe kama nani, au wewe ndo mzazi!? Au umesahau kwamba na wewe kesi yako bado haijaisha tena naomba usinitibue kabisaaa!!" Mr madini yaani ni kama ndo walikuwa wanazidi kumuudhi, Mr madini alishika mkanda wake vyema kwa ajili ya kuanza kumtwanga nao Filomena.
Ila kwa uoga ambao Filomena alikuwa nao likija swala la kupigwa, Kabla hata hajaanza kupigwa alitaja haraka haraka na alimtaja Henry, kwanza Mr madini alidondosha mkanda kwa mshangao baada ya kusikia Jina la Henry likitajwa kwa Mara nyingine.
Mambo yanazidi kuwa Moto je yapi maamuzi ya Mr Madini!???
Itaendelea........
Usikose sehemu ya 24
GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE (24)
