MAAJABU YA MGENI SEHEMU YA TISA (9)


 Sehemu 9 🔞


Siku hiyo ilipita huku Boss yule akiwa kashinda nyumbani pale,ikiwa ni Siku nyingine siku ya jumapili ilibidi Sasa Mama Fatuma atumie akili ya Ziada ilimladi akapate burudani na kijana Henry.


"Baba Filomena leo we si hutoki ebu naomba niazime Gari yako nataka niende kanisani" Mama Filomena alimfuata mumewe na kumuomba kitu.


"Heeeee maajabu yaani leo ndo umekumbuka kwenda kanisani!!? Haya Mama we nenda tu ukaniombee na Mimi" Mr madini akiwa anacheka alijibu.


"Vipi Henry twende zetu kanisani au una kazi!?" Mama Filomena akiwa kama anamtania Henry aliongea na kweli Henry ilibidi akubali huku akiwa anaamini kwamba kweli wanaelekea kanisani.

Isabella akiwa anaanika anika nguo pale nje alishangaa kuona Mama Filomena na Henry wanatoka huku akiwa hajui wanako elekea na tena walitoka na Gari ya Boss mkubwa.


Isabella kwanza ilibidi aingie ndani haraka kumuuliza Mr madini kwamba wawili wale wanaenda wapi.


"Aaaaaa!! Wameenda kanisani kwani vipi kuna shida!? " Mr madini alijibu na kuuliza baada ya Isabella kuuliza sehemu wanako elekea wawili wale.


"Aaaaa! Hamna Baba nilitaka nijue tu maana Mama hajaacha pesa ya matumizi" Isabella ilibidi adanganye ila ukweli aliumia kupita kiasi kuona Mama Filomena anaenda kufaidi.


Mama Filomena na Henry ni kweli walienda kanisani ilimladi waoneokane kwamba walifika hata kama Mr Madini anaenda kuuliza apate uhakika kwamba walifika.


Wawili hao walikaa kama lisaa limoja tu, yaani baada uimbaji kuisha na wageni kusalimia kanisa basi wao waliondoka.


"Sasa Mama mbona tunaondoka Kabla ya Ibada kuisha!? " Henry akiwa haelewi maana ya Mama huyo huku wakiwa wanaingia kwenye Gari aliuliza.


"Henry kuna mambo mengi bwana tayari si tushasari!" Mama Filomena alijibu kifupi baada ya hapo aliendesha Gari mpaka kwenye lodge Moja ambayo ilikuwa imejificha kidogo.

Wawili hao walizama ndani ya lodge hiyo huku Henry akiwa na wasiwasi muno, maana alikuwa anajua akija kushitukiwa na Mr madini basi habari yake Kwisha.


Baada ya kuzama tu chumbani, Mama Filomena Simu yake ilianza kuita huku mpigaji akiwa ni Isabella.


"Isabella nini!!? Nipo kanisani!??" Mama Filomena alipokea Simu na kuongea kwa hasira.


"Una uhakika upo kanisani Mama, au ndo upo na Henry mnakula raha!?" Isabella roho ikiwa inamuuma aliuliza, ila Mama Filomena alikata Simu bila hata kujibu.


"Huyu mtoto ananitafuta nini haswa! We subiri kama sijamfanyia kitu kibaya mwaka huu subiri" basi Mama Filomena aliongea kwa kulalamika, muda huo Henry alikuwa kavua nguo huku mtarimbo wake ukiwa umesimama unasubiri tu Mama yule ajitenge.


"Heeeee!! Jamani dear mbona una haraka hivyo!! Kuwa taratibu basi!!"


"Aaaaa!! Tufanye haraka we si unaona Isabella ashaanza kupiga Simu Mara mbili mbili, mwisho wa Siku Mzee asije akashitukia bure" 


"Usijali Henry hata kama atashitukia Mimi siwezi kukuacha ntapigania penzi langu kwako mpaka mwisho, bora niachane na mume Wangu kwa ajili yako" Mama Filomena aliongea maneno ya kumvimbisha kichwa Henry na kujiona mwamba.

Basi taratibu Mama Filomena akiwa anapumulia puani alianza kumpapasa Henry kila sehemu ya mwili, Henry naye alishika matiti ya Mama yule ambayo yalikuwa yamelala na kuanza kuyabinya binya.


Henry alizidi kufanya utundu wa hapa na pale Mara ampitishe ulimi mama Filomena kwenye sikio, yaani alifanya mumama wa watu aanze kutoa sauti ambazo hazipogo duniani.


"Mamaaaaa!! Jamani!!! rahaaa! we mwanaume utaniuaaa kwa utamu!! tamu jamani tamu!! Bebiii ingiza mwenzako sijiwezi!!" Mama Filomena akiwa kwenye ulimwengu wa pekee yake akitamka maneno ya kila rangi, muda huo Simu ya Henry ilikuwa inaita mara mbili mbili.


Basi Henry alimuinamisha mama Filomena na kumwambia ashike kitandani, yaani kijana alipeleka mapigo ya nguvu kweli kweli, mpaka Mama Filomena Miguu ilianza kutetemeka kwa utamu ambao alikuwa anapata.

Kiukweli Kijana alikuwa kabarikiwa mashine kubwa, yaani alifanya Mama wa watu abaki kama zuzu mule chumbani, kwa hali ambayo Mama Filomena alikuwa yupo nayo yaani hata angeambiwa andika Taraka ya kumpa mumeo angekubali.


Basi wawili hao walipiga ile shoo mpaka Mida ya saa Saba hapo safari ya kurudi nyumbani ndo iliiva.

Wawili hao walifika nyumbani na walikuta Mr madini kalala zake huku akiwa anaamini kwamba watu walienda kanisani.


"Henry ebu njoo nje huku kuna kazi unisaidie!" Baada ya kuingia tu ndani Fatuma alimuita Henry na kwa Jinsi alivyo ita alionekana ana hasira.


"Fatuma ndo nini hivyo mwenzako hata hajapumzika unamuita kama punda, Kazi gani ya kufanya jumapili" Mama Filomena baada ya kuona hivyo ilibidi aongee kwa ukali maana alione bebi wake wanamzoea vibaya.


"Mama kwani lazima ujue Kazi gani, si dakika mbili tu kazi yenyewe hata Siyo nzito" Fatuma alijitetea, basi Henry alikubali kutoka nje na Fatuma na walizunguka mpaka nyuma ya mjengo ule.


"Eheee Henry ndo nini hivyo kuto nipokelea Simu yote Mara sita!??"


"Aaaaa!! Fatuma samahani nilikuwa kanisani"


"Aaaaaa ungetoka hata nje basi walau unijibu kwamba upo kanisani, mwenzako ujue nakua na presha kweli dear?" 


"Aaaaa!! Usiwe na wasiwasi, Vipi kazi gani hiyo!?"


"Unafikiri hata nina Kazi basi, sikiliza Henry baadae Mimi na wewe tunatoka sawa eeee tukutane pale pale na kila Mtu atatoka kivyake, maana Isabella ashaanza umbea" Fatuma alitoa maelezo baada ya hapo wawili hao walirudi ndani na Henry alipitiliza chumbani kupumzika.


Basi ilipo fika Mida ya saa nane familia yote iliketi mezani kwa ajili ya chakula cha mchana.


"Isabella ebu kamuamushe Henry aje ale chakula!" Basi wakiwa pale mezani ilibidi Mama Filomena amtume Isabella.


Isabella alienda mpaka chumbani kwa Henry na kukuta kijana huyo yupo bafuni kuoga, bila hata kuogopa Isabella alipitiliza bafuni Moja kwa moja, na bahati mbaya Henry Milango yote alikuwa kaacha Wazi.


"Isabella nini Sasa unakuja bafuni" Henry aliongea kwa ukali ila Isabella baada ya kuona rungu la Henry alijikuta anasahau kile kilicho mleta na alipata tamaa ya kutaka kupelekewa Moto.


"We Isabella naona Sasa unataka kunisababishia matatizo ebu niondolee upuuzi wako hapa" Henry ilibidi awe mkali baada ya hapo alitoka kule bafuni na kuelekea pale chumbani.


"Henry basi tufanye hivi badae badae tukutane guest ya hapo juu Mimi ntalipia" Isabella akiwa na nyege za kutosha aliomba lakini Henry alikataa kwa msisitizo.


"Henry kama hutaki kila kitu namwambia Mzee kuhusu wewe na mkewe!" Isabella alianza kutoa vitisho kama kawaida yake na ilikuwa ikifika sehemu ya vitisho basi Henry anakuwa mpole, ilibidi Henry awe mpole kwa Mara nyingine tena na kukubali kwamba watakutana huko anako kusema Isabella.

Basi chakula Cha mchana kililiwa, na masaa yalizidi kusogea huku Isabella akiwa anajianda kwenda huko waliko kubaliana na Henry.


"ISABELLA MIMI NIMEPATA DHARURA KWA HIYO SITOFIKA ULIKO SEMA" Isabella akiwa anajipulizia manukato kwa ajili ya kuelekea kupeana raha na kijana Henry Mara ujumbe kutoka kwa Henry uliingia kwenye Simu yake.


Isabella alijikuta anapatwa na hasira mpaka alivunja kioo chake cha mule chumbani, kwanza alipiga Simu kwa Henry ili amtishe kama kawaida, ila bahati mbaya Simu ya Henry haikupatikana tena.


"Henry we subiri unajifanya mjanja eee Sasa, hapa nilicho gundua ni kukubebea ujauzito ndo dawa tosha ya Mimi kuishi na wewe" Isabella alijikuta Sasa kaanza kuwaza mawazo ambayo hayana kichwa wala miguu, yaani aliamini akipata ujauzito wa kijana Henry basi kijana huyo ndo atakuwa wake.


Muda huo upande wa Pili lodge Fatuma na Henry walikuwa wanapeana burudani zisizo na kipimo, yaani ilikuwa ni nipe raha upate raha, kiukweli Fatuma alihisi kuchelewa kumjua kijana Henry maana ilikuwa siyo kwa utamu ule.


Mida ya saa kumi na mbili wawili hao walitoka kwa pamoja mule Lodge kwa ajili ya kuondoka, ila wakati wanatoka walikutana na Mama mmoja ambaye alionekana anamjua vizuri Fatuma.


"Heeeee!! Wewe si Fatuma rafiki yake na Zena au nimefananisha!"Mama yule aliongea huku akiwa kamkodolea Macho Henry.


"Ndiyo ndo Mimi! Shikamo Mama Zena!?" Fatuma akiwa anajichekesha alisalimia.


"Marhaba vipi huku tena!?" 


"Aaaaa!! Tulikuwa tuapata supu Mara Moja humo ndani ndo tunarudi" Fatuma alijibu huku akiwa anajichekesha maana alihisi Mama yule kagundua.


"Na huyu kijana nani yako kwani!?" Mama Zena akiwa anameza mate aliuliza, maana alimkumbuka vyema Kabisa kijana Henry Siku aliyo muona hotelini akiwa na Mama mmoja.


"Aaaaa huyu ni Kijana wetu wa kazi nyumbani kwani vipi unamjua!?"


"Aaaaaa!! Hapana simjui nimeuliza tu"


"Haya Mama!! Utamsalimia Zena basi maana nimesikia kaanza tena kukaa nyumbani!?" Fatuma aliaga na wawili hao waliondoka.


"Uuuuuuu!! Huyu kijana lazima nifanikishe kupata radhaa yake maana inaonekana anajua mambo kweli kweli" Mama Zena akiwa anawaangalia kina Fatuma kwa nyuma alijisemea maneno kimoyomoyo na Mama huyo alikuwa ni mjane ambaye ambaye mume wake alikuwa kafariki Miaka kadhaa nyuma na kumuachia mabinti wawili, yaani Zena na mdogo wake.


Mama huyo alikuwa ni mama ambaye alikuwa anapenda vijana wadogo mpaka kero, yaani yeye kila Siku alikuwa anabadili vijana na hiyo ilitokana na kwamba alikuwa anajiweza kiuchumi kutokana na Mali alizo achiwa na mumewe.


Je Mama huyu atafanikiwa kumpata Henry!??


Itaendelea.........


Usikose sehemu ya 10


GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA KUMI (10)


Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group