MAAJABU YA MGENI SEHEMU YA TATU(3)

 

Sehemu 3 🔞


Muda huo shughuli hiyo inaendelea ndani, Boss Mr madini alionekana anafika pale nyumbani na Gari yake, na bahati mbaya kulikuwa hakuna fensi Labda kwamba atapiga honi ikasikika kule ndani.


"Jamani Henry ebu tupumzike kwanza My" huku ndani shughuli ilikuwa pevu kwa Mama Filomena, baada ya kuona kijana Henry hachoki huku yeye akiwa ameanza kusikia maumivu badala ya raha aliongea kwa sauti ya taabu, ila kijana Henry wala hakuacha, maana alikuwa analitafuta bao la pili, na muda huo Mama Filomena yeye alikuwa kafika kileleni Mara mbili na muda huo ni maumivu tu alikuwa kaanza kuyasikia.


"Henry!! Henry!! Isabella! Isabella!!??" Wawili wale wakiwa kule chumbani huku mizagamuo ikiwa inaendelea Mara walianza kusikia sauti za Mr madini au Baba mwenye mjengo akiwa anaita sebuleni kwa sauti kubwa.


Hapo Henry ilibidi Sasa achomoke kwenye kiuno Cha Mama Filomena, maana sasa hapo mambo yalikuwa yameingiliana na dalili ya kukamatwa ilikuwa imekuja.


"Henry ebu jibane Chini ya kitanda huko, Mume Wangu huyo karudi" Mama Filomena akiwa anatetemeka aliongea na kweli kijana Henry akiwa uchi ilibidi azame uvunguni mwa kitanda, japo kuwa nafasi ilikuwa ndogo muno uvunguni kule ila Henry alijilazimisha kutosha, baada ya hapo Mama Filomena zile nguo za Henry alizisukumiza kule uvunguni.


Mama Filomena haraka haraka alijifuta vizuri na kuvaa nguo zake kisha alikimbilia sebuleni.


"Mama Filomena hawa vijana wa Kazi wako wapi!?"


"Aaaaa! Isabella nimemutuma mahali, ila Henry kasema anaenda kukutana na rafiki yake stendi ila hachelewi kurudi" Mama Filomena aliongea uongo.


"Aaaaaa!! Sasa Henry naye anatokaje wakati nilimwambia masaa 24 awepo hapa nyumbani mpaka apate maelezo tofauti au kaanza kuchoka kazi!?"


"Aaaaa!! Baba Filomena hata kama ni wewe kweli unaweza jikaza kukaa sehemu moja masaa 24!?"


"Okay! Mama Filomena Mimi napumzika kidogo, Henry akirudi niamushe kuna mahali nataka twende naye, maana kuna Kazi nataka akanisaidie" Mr madini alitoa agizo na kuingia chumbani kulala.

Kiukweli mapigo ya moyo ya Mama Filomena yalikuwa yanaenda kasi isiyo ya kawaida maana alikuwa anaona Sasa fumanizi linaenda kutokea.


Boss alilala Zaidi ya Masaa mawili huku Henry akiwa kajibana Chini ya kitanda, yaani Henry alikuwa kabanwa na kitanda pia alikuwa kachoka kukaa kule Chini, alitamani achomoke ili liwalo na liwe ila alipo kumbuka kamsemo ka mke wa Mtu ni Sumu ilibidi ajikaze.


Mida ya saa Kumi baada ya Boss kulala na kuchoka aliamua kuondoka huku akiwa kakasirika kwa Henry kuchelewa kurudi, na muda huo Fatuma na Filomena walikuwa washarudi chuo tayari, pia Isabella alikuwa asharudi kule aliko kuwa katumwa na Mama Filomena.


"Fatuma ebu nendeni kwa shangazi yenu kamwambie Mama anasema lile swala letu vipi!" Mama Filomena baada ya kuona mumewe katoka ilibidi atumie akili kuwatoa watoto wake pale nyumbani ili Henry atoke kule chumbani, na pia alimtuma Isabella sokoni.

Basi ni kweli Henry alifanikiwa kuchomoka uvunguni kule ila ndo hivyo mwili mzima ulikuwa umekufa ganzi, maana alikuwa kakaa masaa Zaidi ya manne Chini ya kitanda.


"Henry Saiz ntakuwa nakuja chumbani kwako sawa eeee!!?" Mama Filomena aliongea point ambayo ilifanya Henry atikise kichwa kwa kukataa swala lile, maana alikuwa anaona hiyo ni hatari.


"Henry hii ni amri siyo ombi kunipa penzi ni lazima nitakapo taka Mimi lasivyo Kazi itakushinda" Mama Filomena alichimba mkwara, baada ya hapo Henry aliingia chumbani kwenda kuoga.


Masaa yalizidi kusogea Hatimaye ilifika Muda wa chakula, Siku hiyo Henry naye aliungana na familia kwenye meza ya chakula, ila Henry hakuachwa kusemwa na Madini kwa tabia yake ya kutoka pale nyumbani bila ruhusa yake.


Basi masaa yalisogea hatimaye ulifika Usiku wa manane huku kila Mtu akiwa kalala, ila kwa Muda huo Fatuma na Filomena walikuwa hawajalala kuna maswali walikuwa wanajadili, ila mdogo wao kwa Jina la Edina ambaye alikuwa anasoma kidato Cha Sita yeye alikuwa kalala.

Muda huo Henry naye alikuwa kalala chumbani kwake usingizi wa kufa Mtu, ila Katika chumba Cha Henry Mara mlango ulianza kugongwa.


"Henry!! Henry!! We Henry!!?" Zilisikika sauti za Chini Chini zikiwa zinamuita Henry huku mlango ukiwa unagongwa, na alikuwa siyo mwingine bali alikuwa ni Isabella anataka kuingia chumbani kwa Henry kwenda kupelekewa Moto.

Bahati mbaya wakati Isabella anagonga mlango akina Fatuma walisikia wakiwa chumbani kwao, ila Henry akiwa kalala yeye wala hakusikia.


Mabinti hao baada ya kusikia ilibidi watoke na kuelekea Kwenye chumba ambacho walikuwa wamesikia mlango unagongwa.


"Eheeee!! Isabella vipi usiku huu unagonga kwenye chumba Cha Henry! Muna ajenda gani ya Siri!?" Isabella akiwa pale alishitushwa na Sauti ya Filomena.


"Khaaaa! haaaa! Nilitaka nimuulize kitu!!" Isabella akiwa anatetemeka alijibu.


"We mpuuzi nini!?? Usiku huu unagonga chumbani kwa Mtu kisa unataka kumuuliza kitu, haya kitu gani hicho ambacho huwezi subiri mpaka pakuche!?" Isabella alibanwa na maswali alijikuta kakosa hata Cha kuongea.


"Filomena nishagundua huyu hawezi kuja kugonga bure hapa, lazima wana mahusiano Sasa sikiliza taarifa hizi lazima Baba azipate kesho" Fatuma aliongea na kumchimba mkwara Isabella, baada ya hapo waliondoka.


Masaa yalisogea hatimaye kulikucha mpaka asubuhi, akina Fatuma ni kweli ile taarifa walifikisha kwa Baba yao.


"Baba Jana Usiku tumemfumania Isabella na Henry chumbani kwa Henry!?" Wakiwa kwenye meza ya chai ikiwa ni wikendi, Fatuma alianzisha maada tena akiwa ametia na chumvi kabisa, na yote hiyo ilikuwa kwa Sababu hawampendi Henry kuendelea kufanya kazi pale nyumbani.


"Heeeee! Isabella ya Kweli hayo!?"Mama Filomena akiwa kajawa na wivu alimuuliza Isabella kwa mshangao.


"Siyo kweli! Walinikuta tu nagonga mlango kwenye chumba Cha Henry wao wanasema walinifumania, labda waseme tu hawamtaki Henry hapa nyumbani" Isabella alijitetea, Mr Madini naye alichukulia ni hila tu za watoto wake kwa Sababu alikuwa anajua jinsi gani hawamkubali Henry pale nyumbani.

Basi baada ya kifungua kinywa Mr Madini aliaga kusafiri safari ya wiki moja mpaka mbili na safari yake ilikuwa ni nje za nchi.


"Yesssssss!! Lazima huu muda niutumie kupata utamu wa huyu kijana" Mr Madini akiwa anaaga hayo yalikuwa ni mawazo ya Mama Filomena kichwani mwake.

Mida ya mchana Boss alibeba begi lake dogo na kuondoka, na ilikuwa Kawaida ya Boss yule kusafiri Mara kwa Mara kutokana na biashara yake ambayo alikuwa anaifanya.


"Henry mambo ya usalama na ulinzi wote hapa nyumbani nakuachia wewe, sitaki vijana wowote wasogee hapa nyumbani kucheza na mabinti Zangu, umenileewa eee!?" Hayo ni maagizo Ambayo Henry aliachiwa na boss yake.


Basi Siku hiyo akina Fatuma walishinda pale nyumbani, ila Isabella Muda wote alikuwa anawaza ni Namna gani atapata chansi ya kufanya yake na Henry.

Ulifika Usiku basi kama kawaida familia ilikaa mezani kwa ajili ya chakula huku Henry naye akiwa yupo pale, Mama Filomena Siku hiyo alikuwa kapanga kulala na Henry, pia naye Isabella kichwani mwake alikuwa anajisemea kwamba lazima afanikiwe.


Usiku kama kawaida kila Mtu aliingia chumbani kwake, ila Isabella alitangulia badala ya kuingia chumbani kwake, aliingia chumbani kwa Henry na kutulia kitandani.

Henry alishangaa anaingia chumbani kwake anamkuta Isabella kajilaza kitandani huku akiwa hana hata wasiwasi, yaani kama ndo Mke vile.


"Isabella ndo nini hivyo kwani unakuja huku wewe huna chumba chako!??"


"Henry please! Mimi siwezi lala bila wewe eti!!." Isabella aliongea point ambayo ilifanya Henry acheke.


"We mpuuzi nini!! Yaani unataka uniambie Siku zote hizo ulikuwa unalalaje!!? alafu wewe una...!?" Henry akiwa anaongea  Kabla hata hajamalizia kuongea Mara Mama Filomena aliingia mule chumbani.


Hapa ni mwanzo jamani mengi mazuri yanakuja


Itaendelea...........


Usikose sehemu ya 4


GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA NNE (4)


Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group