Sehemu 14 🔞
Muda huo huo Henry naye ndo alikuwa anaingia mule ndani akiwa anapiga piga vimuruzi huku anachombeza na nyimbo za bongo fleva.
"Henry ebu kaa Chini ujibu haya maneno anayo yasema Isabella!!" Henry akiwa haelewi kinacho endelea baada ya kuingia tu alidakwa na Mr madini na kupigwa mtama mpaka Chini.
"Baba!, Isabella Muongo, yeye ndo tulifumaniwa chumbani kwa Henry akiwa anamlazimisha Henry wafanye mapenzi" Fatuma naye alijitetea ila akiwa hana hili wala lile alikula bonge la Kofi kutoka kwa Baba yake mpaka udenda ulimtoka.
"Henry naona unaniona mwepesi Sana eeee!! Kinacho kuaminisha kutembea na mabinti Zangu ni kitu gani" Mr madini akiwa kamkanyaga Henry Chini aliuliza huku Jicho likiwa limeanza kuwa jekundu.
"Mzee Mimi sitembei nao, Isabella ni Muongo tu nasema kweli na Mungu ananiona" Henry akiwa kabanwa Chini aliongea maneno ambayo yalikuwa hata hayamtoki vizuri.
"Heeeee heeee!! Baba Filomena nini hicho unataka kuua mtoto wa watu kuna nini kwani!??" Muda ule ule Mama Filomena naye ndo aliingia kutokea kazini kwake na alikuwa kaambatana na binti yake Edina ambaye alimpitia shuleni.
"Mama Filomena kwa hiyo wewe ndo unawafundisha watoto uhuni!? Hivi huyu nguruwe ndo wakutembea na watoto Wangu!??" Mr madini aliuliza kwa hasira.
"Pamoja na yote muache mtoto wa watu kuwa mpole basi Baba Filomena" Mama Filomena alionekana anamtetea Henry.
Ila binti Fatuma uvumilivu ulimshinda aliamua kwenda pale alipo kanyagwa Henry na alisukuma mgua wa Baba yake na kumuinua Henry.
"Fatuma kwa hiyo unanithibitishia kwamba Isabella alicho ongea ni kweli kwa kumtetea huyu mpuuzi!!"
"Ndiyo Baba bora nipige Mimi, Henry nampenda ndiyo na ndo chaguo langu" bila hata kuogopa Fatuma aliropoka mbele ya Baba yake, ila binti Fatuma alikula kofi la karne, yaani alijikuta anaenda kudondoke kwenye sofa huku akiwa anasikia ni kama kuna vitu vinalia kichwani mwake.
"We mwanaume una nini, Sasa ndo nini hivyo kumpiga mtoto nakuuliza ndo nini hivyo kunipigia Mwanangu hivyo!?"Mama Filomena aliongea kwa ukali ila kwa hasira tu Mr madini alimuwasha na mkewe kofi la maana, muda huo Isabella alikuwa kakaa pembeni anatetemeka, maana alikuwa kaaanzisha timbwili ambalo hakujua litaishia vipi, yaani Isabella alikuja kugundua kwamba kalikoroga baada ya mambo kuharibika.
Henry naye akiwa kakaa Chini aliangalia usawa wa mlango kwa ajili ya kuchomoka, Kabla hajatekeleza azima ya kukimbia alidakwa na Mr madini juu kwa juu.
"Pumbavu wewe huendi popote leo mpaka uniambie kilicho kutuma kutembea na binti Yangu"
"Baba Filomena wewe ndo umewarithisha watoto umalaya ndiyo, bora wao Sasa wanaye mmoja, wewe na utu uzima wako unadanganya umeenda safari alafu unaenda hotelini kulala na vibinti, au kwa kuwa nakufichia Siri zako ndo unahisi sijui!??" Mama Filomena kutokana na lile Kofi alijikuta naye anachafukwa bila kuhofia watoto alianza kutema maneno.
"Mama Filomena!! Nasema Mama Filomena naona unanitafuta!! Aliye kwambia huo uongo nani nakuuliza nani!!"Mr madini akiwa katumbua jicho huku akiwa haamini kama Siri yake inajulikana aliuliza kwa ukali ilimladi kuzuga.
"Kwa hiyo Baba Filomena unataka nikwambie mpaka hotelini unayo endaga ili ujue kwamba Siri zako zote nazijua, sitaki unikoromee ndoa siyo jera kwamba lazima nikae hata kama sipendi, kama wewe unaona Mimi sina thamani kwako andika Taraka, pumbavu zako karne ya kupigana makofi hii!?" Mama Filomena aliongea kwa Hasira na kuingia chumbani.
Yaani Mr madini alijikuta ananywea pale sebuleni mbele ya watoto wake, mpaka nguvu ya kuwafokea Iliisha, Henry naye alibahatika kuchoropoka kutoka Mikononi mwa Mr madini, yaani mbio alizo toka nazo pale ndani yule kijana zilikuwa Siyo za dunia hii.
Henry alivyo toka pale safari ya kwanza ilikuwa ni kwenye ile lodge ambayo Mara ya kwanza walikutana na Mama Zena, alilipia chumba na kulala huku akiwa anahema.
Akiwa yupo chumbani Henry alisikia mlango unagongwa, kwa jinsi Moyo ulivyo kuwa unamuenda mbio Henry alivunga maana alihisi huwenda ni Mr Madini bado anamfuatilia.
"Hellooo ni Mimi mhudumu!!" Basi Henry alisikia sauti ya kike ikiita mlangoni, hapo walau kidogo alihema na alinyanyuka kwenda kufungua mlango.
"Dada karibu!! Vipi nikusaidie nini!??" Henry alifungua mlango alikutana na sura ya mhudumu pale mlangoni akiwa anacheka cheka.
"Samahani kaka naweza nikaingia!!?" Mhudumu yule aliuliza huku akiwa anajilamba lamba midomo, mpaka hapo Henry alianza kujua kitu gani Dada yule anataka.
Basi Henry alimruhusu Dada yule kuingia mpaka ndani.
"Dada vipi mbona sikuelewi naona unacheka cheka tu! Kwani kuna nini!?" Henry aliuliza kwa ukali huku akiwa anazuga kama haelewi kitu.
"Aaaaa!!! Jamani kwni we mtoto! Naomba basi nisaidie mwenzako" mhudumu yule akiwa anamsogelea Henry mwilini aliongea, na mhudumu huyu alikuja kupata radhaa kwa Henry kutokana na kwamba alikuwa kasimuliwa shughuli ya kijana Henry na Mama Zena.
Yaani Siku ya kwanza baada ya Zena kutoana jasho na Henry pale lodge, mhudumu alimtania Mama Zena kwamba mbona alikuwa anapiga makelele muno, hapo ndipo mama Zena alipo msimulia mhudumu yule shughuli ya Henry maana wawili hao walikuwa wamezoeana kutokana na Mama huyo kuja mara kwa Mara na viserengeti boy maeneo hayo.
Kwa hiyo mhudumu baada ya kumuona Henry alijileta ili naye aonje kile alicho kuwa anasimuliwa na Mama Zena.
Basi Henry akiwa katulia mhudumu yule alianza kumpapasa Henry kila sehemu huku akiwa anamuomba Henry kwamba amsaidie ampige walau kimoja tu.
Kijana Henry linapo kuja swala la kusimamisha alikuwa hachelewi, yaani akiwa anaguswa guswa na yule mhudumu mashine yake iliitika vilivyo.
Henry kitu alicho kifanya, ilikuwa ni kama kukomoa yaani, pale pale Henry alivua nguo zake na kumvua mhudumu yule nguo zake Zote haraka haraka, yaani bila hata kumuandaa vizuri Henry alianza kushindilia mashine yake kwenye kinu Cha mhudumu yulee.
"Ashiiiiiiii subiri subiri! Subiri kwanza basi!!" Yaani kilicho sikika kule chumbani zilikuwa ni kelele za Mtu kupelekewa Moto, yaani Henry alifanya Zaidi ya kufanya na alifanya kwa kukomoa, mhudumu yule alipiga makelele kuomba msaada na hiyo ilitokana na maumivu ambayo alikuwa kayapata.
Kelele zile zilifanya mhudumu mwenzake aje haraka kule chumbani na bahati mbaya mlango ulikuwa haujafungwa kwa hiyo alipo fika alizama moja kwa moja.
Shughuli aliyo kutana nayo mhudumu yule alibaki kaacha mdomo Wazi, kwanza alikuta rafiki yake kainamishwa alafu anapiga makelele huku Chini kukiwa na kama matone ya Damu.
Basi Henry baada ya kuona kuna Mtu kaingia mule ndani ilibidi aache, haraka haraka alikimbilia Nguo zake na kuvaa, ila mhudumu yule aliye ingia kuja kutoa msaada alibaki kaacha mdomo Wazi baada ya kuona mashine ya Henry ilivyo kubwa, yaani ilikuwa na ukubwa ambao siyo wa kawaida.
"Ehuuuu ehuuuu!! Jamani nakufa aiiiii we mkaka ulitaka kuniua!" Akiwa kainama Chini huku kuma yote inawaka Moto mhudumu yule aliongea, kwanza ilibidi ashikwe na mhudumu mwenzake na kutoka naye nje, ila yule mwenzake alionekana katamani ile shoo ya Henry kupita kiasi, maana hakuacha kumkonyeza kijana Henry.
Huku nyumbani kwa kina Fatuma, matusi ya kutosha hayakuacha kumuandama Isabella, yaani kuanzia Mama Filomena mpaka akina Fatuma wenyewe yalikuwa ni matusi na masimango mwanzo mwisho, kiukweli binti wa watu alijutia ule umbea wake, maana alikuwa anaona anaenda kuikosa kazi, pia vile vile dalili za kumkosa Henry zilikuwa zimeonekana.
Basi Siku hiyo ilipita huku Mr madini naye akiwa anaona ona aibu tu, maana ilikuwa ni kama mshangao fulani hivi kwa Siri yake kuwa peupe.
Siku hiyo ilipita, huku lodge aliko Henry wahudumu walionekana sasa wanamshobokea kijana huyo kupita maelezo, maana wahudumu wote wa lodge hiyo ni kama walisimuliana shughuli ya kijana huyo, yaani yule mhudumu ambaye alikuwa kaachiwa maagizo na Mama Zena kwamba kijana Henry akionekana maeneo hayo apigiwe Simu, mhudumu huyo hakutaka tena kumpigia Simu Mama Zena, maana alikuwa anaona ni bahati yake kwa kijana Henry.
Basi zilipita Siku tatu Henry akiwa anakaa pale Lodge huku akiwa anaramba wahudumu wote kwa nyakati tofauti tofauti.
Ilipita Wiki nzima Henry akiwa pale lodge na Siku zote hizo Henry alikuwa analala bure na kula bure pale lodge yaani wahudumu wale ndo walikuwa wanalipia kila kitu.
Siku hiyo ilikuwa ni Wikendi Safi kabisa, kama kawaida Mama Zena alikuwa na kibenteni chake safi kabisa, moja kwa moja alikuja nacho mpaka pale Lodge, ila uso kwa macho akiwa anaingia na kibenteni chake alishangaa kumuona kijana Henry akiwa kakaa kwenye kiti tena kwenye kona huku akiwa anacheka na mhudumu na mishikaki ikiwa imejaa kwenye Sahani.
Henry naye alipo tupa macho mbele alimuona Mama Zena akiwa na kijana mmoja hivi ambaye alikuwa mweupe mrefu, kwanza Mama Zena alipata aibu kidogo kisha alimwangalia yule kijana waliye naye huku akiwa anafikiria Cha kufanya haraka haraka.
Je maamuzi gani Mama Zena aliyachukua!??
Itaendelea...........
Usikose sehemu ya 15
GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA KUMI NA TANO (15)
