MAAJABU YA MGENI SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO (25)


 Sehemu 25 🔞 (Mwisho)


Muda huo huo wapo pale sebuleni wakiwa na taharuki kubwa huku wanabishana Mara Mr madini naye aliingia akiwa anajiongelesha pekee yake kwa hasira, maana ni Siku nyingine walikuwa wamemkosa Henry huko mtaani.


"Eheeee na nyie vipi mbona mumekaa bila mpangilio hapa sebuleni Kuna Mada gani inaendelea!?" Mr madini baada ya kuingia na hasira zake aliuliza kibabe, ila hakuna aliye mjibu Zaidi ya kumwangalia tu.


"Kwa hiyo naongea kama katuni siyo!? Nauliza kuna maada gani hapa!? Fatuma inamaana hunisikii!" Mr madini aliuliza kwa ukali.


"Heeeee! heeeee! We Mzee wewe usitupigie kelele, yaani kumbe mwanume Malaya hivyo, Siku zote nilikuwa najiuliza kwa nini unamtetea Isabella humu ndani Kumbe ni kimada wako eee!? Na ukaona kutembea naye tu haitoshi ukaamua kumtia ujauzito kabisa ili kunithibitishia ni Jinsi gani unanidharau siyo!??" Mama Filomena ilibidi asimame na kuanza kuongea huku machozi yakiwa yanamlenga lenga.

Mr madini kwanza alibaki kazubaa kama kapigwa na gogo kwenye utosi, yaani alikuwa haelewi mambo yale yamekuwaje.


"Isabella inamaana una mimba!??" Mr madini akiwa anashangaa aliuliza, na kilicho fanya ashangae siyo kitendo Cha kutembea na Isabella bali ni kwamba Mara nyingi alikuwa ana lala na binti yule Siku ambazo ni salama yaani Siku ambazo hawezi kushika ujauzito.


"Unauliza nini Sasa ndo hivyo Nina mimba yako!??" Isabella kwa kujiamini alimjibu Mr madini.


"We mpuuzi unasemaje mimba Yangu, hiyo mimba nilikupa kwa njia gani ndotoni au!? Utakuwa umerogwa wewe siyo bure!!" Mr madini aliamua kuruka futi mia, ila ukweli ni kwamba alikuwa anamnyanduaga Isabella kisiri siri.


"We Malaya ebu toa maelezo vizuri, huu ujauzito wa mume Wangu kweli au kuna mchezo unataka unichezea!?" Mama Filomena baada ya kuona Mr madini kakataa kwa nguvu ule ujauzito ilibidi amgeukie Isabella kwa hasira.


"Hata wewe ni Malaya, mbona ulikuwa unatembea na Henry au unafikri sijui, kama ungekuwa siyo Malaya Henry ulikuwa uanalala naye wa nini!!?" Ebooo!! Isabella aliamua kumwaga Sasa mboga baada ya kuona Mama Filomena kamukalia kooni.

Mama Filomena kwanza alipaliwa na maneno baada ya kuona Sasa kimeumana.


"Heeeee! heeeee! Isabella unasemaje!? Mama Filomena alikuwa analala na Henry, yaani unamanisha walikuwa na mahusiano!??" Mr madini jicho likiwa limemtoka aliuliza.


"Sasa hujanisikia nini hapo, ndo hivyo tena siyo Mara Moja Mara nyingi tu walikuwa wanatoka na kwenda kulala huko kwenye mahoteli"Isabella alizidi kukandamizia msumari wa Moto.

Mr madini aliona kichwa kinawaka Moto, yaani hasira zilikuwa zimemjaa nusura ya Moyo kutaka kupasuka, kwanza ilibidi atoke pale nyumbani ili asije akafanya maamuzi magumu.


Fatuma naye baada ya kuijua ile Siri alikimbilia chumbani kwenda kulilia huko, maana aliona ile ni aibu ya mwaka.


"Isabella nakuuwa! Nasema nakuuwaa unataka kuniharibia ndoa Yangu na familia yangu nakuuwa" Mama Filomena hasira zikiwa zinamfurika aliongea kwa hasira, baada ya hapo alielekea jikoni na kuchukua kisu.


Isabella alibaki kakodoa jicho huku akiwa anahisi mama Filomena anatania, akiwa anashanga shanga, Mama Filomena alirusha kisu kwa hasira bahati nzuri Isabella alikwepa kisu kilimparaza kidogo kwenye mkono.


Mama Filomena alikiokota tena kisu, awamu hii alimfuata kutaka kumchoma kabisa, wakati anataka kukita gafla Filomena aliingia mule ndani na kumshika Mama yake.

Kwa presha na mapigo ya Moyo yalivyo kuwa yanaenda kasi Isabella alijikojolea bila kujiona, yaani binti sipidi ambazo alitoka nazo mule ndani zilikuwa siyo za dunia hii.


"Mama kuna nini mpaka unataka kumchoma Isabella kisu, huoni kama utajiletea matatizo jamani!?" Isabella akiwa kamshika Mama yake alimuuliza, ila mama Filomena alionekana bado ana hasira za kutosha, yaani alimsukuma Filomena kwa nguvu na kuchomoka nje kwa ajili ya kumalizana na Isabella.

Kiukweli mfukuzano ulikuwa mkali mtaani, yaani wawili hao walionekana kituko kwa Jinsi walivyo kuwa wanafukuzana, naye Filomena alikuwa anafukuzia kwa nyuma ili kumshika Mama yake, bahati nzuri raia waliamua kumkamata Mama Filomena na kumzuia.


Huku kwa Henry nako mambo yalikuwa Moto, baada ya upelelezi wa kina wa Vijana wa Mr madini, waligundua ni wapi Henry anakaa!! Ikiwa ni Usiku huku watu wanne wakiwa wamekaa kwenye Meza ya chakula, yaani Mama Zena, Zena na mdogo wake pamoja na Henry, Mara walisikia mlango unagongwa.


Basi ilibidi mdogo wake na Zena aende kufungua mlango iki kumkaribisha mgeni, yaani kitendo Cha kufungua tu mlango alisukumwa kwa nguvu na njemba kama tano zilizama mule ndani na kumkamata Henry.


"Heeeee jamani kwani kafanya nini huyu!??" Mama Zena aliuliza, ila badala ya kupewa Majibu alikula bonge la ngumi ya uso.


"Mama kama unataka ubaki mzima wewe na familia yako basi tulia na jifanye hujaona kitu " hilo ni onyo ambalo Mama Zena alipewa, Mama Huyo ilibidi aufyate mkia na kutulia, yaani yeye na watoto wake walitulia na kubaki kimya kimya.


Baada ya hapo njemba zile zilimbeba Henry juu kwa juu na kuondoka naye, Henry alijaribu kupiga makelele ya msaada lakini hapakuwa na Mtu wa kumsaidia.


"Zena piga Simu poilisi Sasa hivi!" Mama Zena alichanganyikiwa baada ya watu wale kuondoka.


"Mama Kama unataka tufe piga Simu polisi, hao ni watu wa Mr madini, na Mr madini anajuana na askari kibao, yaani ukipiga Simu tu Polisi Saiz taarifa zitamfikia Mr madini na tutakuja kuchinjwa hapa, kwa hiyo tukae kwa kutulia kama hatujaona jambo" Zena alimchimba mkwara Mama yake, na kweli Mama huyo alinywea na kuogopa kweli kweli.


Basi Henry alienda kufungiwa sehemu Ambayo hata haijui huku kukiwa na giza kali muno.


Siku hiyo ilipita na Masaa yalizidi kusogea huku Henry akiwa haelewi yuko mazingira gani, baada ya Masaa na masaa kupita hatimaye kikundi Cha watu kikifika huku wakiwa wanaongozwa na Mr madini.


"Henry ulijitia kidume eeee!! Ukaamua kuvamia mji kwa pupa Sasa leo inakutokea puani, Mimi sikuui ila nataka nikuachie funzo la kuja kusimulia baadae kwamba siyo vizuri kuvamia kwenye miji ya watu na kuanza kufanya mambo ya kipuuzi" Mr madini akiwa kamkazia macho Henry aliongea maneno machache baada ya hapo aliwaaga vijana wake na kuwaachia wamalize Kazi.


Henry alijaribu kuomba msamaha kadri awezavyo ila haikuwezekana na Henry alikuwa anaona ndo mwisho wake.


Henry akiwa kakodoa Macho alishangaa njemba zikiwa zinachojoa suruali huku zikiwa na vilainishi kabisa, baada ya hapo walimkamata Henry na kumtoa nguo.

Kiukweli Siku Hiyo Henry alijuta kuzaliwa, yaani alijuta kuja mjini, maana alilawitiwa na watu Zaidi ya watatu, yaani Henry alibaki analia kama mtoto.


Baada ya kumfanyia unyama huo waliona adhabu bado haitoshi, Henry alikamatwa korodani zake baada ya hapo zilibanwa na mkasi na kutoa sauti "tyufuuu" hiyo ilikuwa ni dalili kwamba zimepasuliwa, yaani kiufupi Henry walimuhasi.


Kijana wa watu alipiga kelele mpaka alizimia kwa maumivu ambayo alikuwa nayo.


Basi zilipita Siku kama mbili hivi Henry alikuja kujikuta yupo hospitalini, maana baada ya tukio alienda kutupwa barabarani na wasamalia wema walimuokota, yaani maumivu ambayo Henry alikuwa anayapata yalikuwa hayapimiki.


Matibabu yaliendelea kwa kijana Henry huku baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanamsaidia, upande wa pili kwenye familia ya Mr Madini mambo yalikuwa sawa na waliamua kusahau yaliyo pita kwa Sababu kila Mtu alikuwa na madhambi yake, ila Isabella ndo alikuwa kapotelea kusiko julikana baada ya kukoswa koswa na visu.


Mwenzi mmoja ulipita Henry hatimaye alipona na kuwa mzima kabisa,ila ndo hivyo kitu kilikuwa hakifanyi kazi tena, yaani mbwembwe zote zilikuwa hamna, Henry alijaribu kuwatafuta wale wote ambao walikuwa wanamuweka mjini ila hakuna aliye chagua kumuelewa, hata Mama Zena hakumtaka tena kwa Sababu alikuwa hana faida tena kwa upande wake.

Kijana Henry maisha yalikuwa magumu kweli kweli pale mjini, yaani alijikuta anajutia kulivamia Jiji kwa pupa na ulikuwa ni ujinga wake na tamaa zake za kukubali kirahisi vishawishi.


Baada ya miezi kadhaa Henry baada ya kuona Sasa atakuja kufia kwenye mji wa watu aliamua kuomba msaada wa  nauli kwa wasamalia wema na aliamua kurudi Kijijini kuendelea kulima na Bibi yake,na alikuwa anarudi Kijijini huku akiwa siyo mwanaume kamili.


Siku zote kila sehemu unayo enda jaribu kuishi na watu vyema usijione wewe kama ndo wewe na hakuna mwingine, na vijana tunao enda kutafuta maisha mijini tusipende Sana vitonga, maana madhara yake ni makubwa kuliko Faida.


Huu ndo mwisho wa maajabu ya mgeni.


🙏🙏🙏Asanteni 

Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group