MAAJABU YA MGENI SEHEMU YA SABA (7)

Sehemu 7 🔞


Basi ni kweli majira ya saa kumi na Moja Henry na Mama Filomena walitoka kule chumba, na Mama yule aliwaona wakitoka na aliwapiga picha kabisa japo ilikuwa kwa nyuma na alifanya hivyo ili iwe rahisi kumpata kijana Henry.


Basi Henry na Mama Filomena walikodisha taxi ambazo zilikuwa zipo pale hotelini, baada ya dakika kumi tu walifika nyumbani kwa Sababu hapakuwa mbali sana.

Ila huku nyumbani Isabella alikuwa hajalala usingizi kabisa yaani, chozi tu lilikuwa linatiririka Muda wote.


Isabella akiwa chumbani kwake katulia usingizi hamna, alisikia kwenye korido ni kama Mtu anatembea, haraka haraka binti huyo alitoka na kuchungulia ni nani hapo ndipo alipo muona Henry anaingia chumbani kwake.


Isabella haraka haraka alitoka kukimbilia chumbani kwa Henry maana vyumba vyao vilikuwa karibu, ila wakati anafika Pale mlangoni Henry alikuwa ndo kabana kule ndani.


"Henry!! Henry!! ni Mimi Isabella fungua basi mlango" binti wa watu alianza kugonga mlango, ila aligonga bila mafanikio maana Henry hakufungua na alizuga kama hajasikia.


Siku hiyo ilipita kama kawaida na akina Fatuma Siku hiyo waliwahi kuondoka na kwenda chuo, ila Kabla Fatuma hajaondoka kuna ujumbe aliandika na kumkabidhi Henry.


"DEAR BAADAE SAA KUMI NA MOJA UJE MAENEO YALE YALE UTAKUTA NAKUSUBIRI" ujumbe alio achiwa Henry ulisomeka hivyo, na katika ujumbe ule kuna pesa zilikuwa zimeviringishwa pamoja na ujumbe ule.


Henry kwanza alibaki katulia akiwa haelewi Hatima yake, maana michezo aliyo kuwa kaanza kuifanya alikuwa anaona hatari mbele yake.


"Daaaaa!! Fatuma kiukweli nakupenda sijui nifanyeje Mama yako naye kaniahidi kuninunulia Gari" Henry alijikuta anajisemea mwenyewe bila hata kuelewa kipi ni kipi.

Henry akiwa kainama huku anazuba Mara Isabella alikuja na kuchomoa lile karatasi ambalo Henry alikuwa kashika,  Kabla hata Henry hajampokonya Isabella lile karatasi, binti yule alifanikiwa kulisoma.


"Eeeeee!! Kwa hiyo Mama Filomena ndo unamuona Mzuri na mnaitana dear, na unajifanya mjanja sana umekataa kunifungulia mlango, Sasa subiri Baba arudi kila kitu ntamwambia kuhusu wewe na mkewe" kwa wivu ambao alikuwa nao huku akiwa anaamini ule ujumbe umetoka kwa Mama Filomena, Isabella alianza kumchimba mkwara Henry.


"Isabella kuwa mpole basi, au hutaki wewe nikupe tena!?"


"Henry chagua Moja niseme kwa Baba au uwe unanipa Mimi kama unavyo mpa Mama Filomena kila Siku"


"Basi Sawa Isabella ntakuwa nakupa basi" Henry ilibidi awe mpole.


"Muda huu Mama akitoka tu unaenda kunipa, maana siyo Muda anaenda ofisini kwake!" Isabella aliongea na kweli dakika hiyo hiyo Mama Filomena alitoka na mkoba wake mule ndani, na aliwaona wawili wale wakiwa wanaongea, kwanza Kwa wivu tu alimuita Henry.


"Henry sikiliza ukirudia kulala na yule panya tena kila kitu nilicho kuahidi sahau na pia kazi utafukuzwa" hayo yalikuwa ni matisho ya Mama Filomena, yaani kila Mtu alikuwa anamtishia Henry kwa anavyo jua yeye.


Basi Mama Filomena aliondoka zake na kuelekea ofisini kwake, kwa Sababu Mama huyo alikuwa ana maduka yake ya vitenge ambayo alikuwa akiyasimamia japo kuwa alikuwa na wafanyakazi wengi tu.


Baada ya kutoka tu Isabella ilibidi amgande Sasa Henry Muda ule ule.


"Duuuu!! Jamani mi si ntakufa yaani siku ngapi mfululizo nafanya ngono tu, huyu anataka baadae naye mwingine anataka niende aisee sijui nifanyeje!?" Henry akiwa anaambiwa na Isabella huku akiwa anapigwa vitisho yeye alikuwa anajisemea kimoyomoyo.


"Henry kama hutaki nambie, maana siyo Siku nyingi Boss atarudi na umbea wote naumwaga akirudi kuhusu wewe na mkewe" Isabella alizidi kutoa vitisho, kutokana na hofu ilibidi Henry akubali tu kwenda kutoa dozi japo alikuwa ana uchovu wa kutosha, maana yeye na Mama Filomena walikuwa wamezagamuana Usiku kucha.


Kiukweli Siku hiyo Isabella alipata radhaa halisi ya mapenzi, yaani Siku hiyo wala hakusikia maumivu Zaidi ya utamu.


"Henry nakuahidi ntakuwa mwaminifu kwako, na Henry Mimi nipo tayari Kwa Lolote utakalo sema ila ninacho kiomba usije ukaniacha please!!" Baada ya Isabella kupewa utamu ule alijikuta anaongea maneno yote mazuri, Henry yeye kazi yake ilikuwa ni kutikisa kichwa tu kukubaliana na yote.


Yaani Isabella alijikuta anacheka Cheka pekee yake tu, basi masaa yalizidi kusogea chakula Cha mchana kilipikwa na walikula wawili tu kwa Sababu ndo walikuwa wapo pale nyumbani.


"Henry kwa hiyo unataka uniambie hiyo saa kumi na moja unaenda huko aliko kwambia Mama Filomena mkutane" basi wakiwa kwenye meza ya chakula Isabella alikuwa anamuuliza Henry huku akiwa amejawa na wivu haswa.


"Siendi kwanza nimechoka mpaka siyo vizuri" Henry alijibu na kwenda kupumzika chumbani.


Masaa yalizidi kusogea Hatimaye ilifika saa Kumi na madakika, Filomena alifika pale nyumbani akiwa pekee yale kitu ambacho kilikuwa siyo Kawaida.


"Vipi Filo! Fatuma yuko wapi!?" Isabella alimuuliza Fatuma akiwa anapokea begi.


"Heeeee! Isabella unataka uniambie Fatuma hajafika, maana alikuwa katangulia na wala hajaniaga nikajua asharudi!?" 


"Uuuuuuu!! Labda kaenda kwa bwana ake" Isabella alitania na kupeleka begi chumbani.

Muda huo Henry alikuwa kasikia mazungumzo ya wawili hao, na mazungumzo hayo yalifanya Henry akumbuke kwamba aliambiwa saa kumi na Moja afike eneo la tukio, na ukweli Henry alikuwa katokea kumpenda Fatuma toka Moyoni.


Basi Henry bila hata kuaga kwa kunyata alichoropoka pale nyumbani na kutoka, wakati anatoka tu naye Mama Filomena ndo alikuwa anaingia na Gari yake.


"Isabella!! Ebu fanya haraka njoo!?" Isabella akiwa chumbani kwa kina Filomena wanapiga piga Stori na Filomena Mara alisikia anaitwa.


"Eheeee Henry yuko wapi!?" Baada ya kufika sebuleni aliulizwa na Mama Filomena, basi ilibidi aelekee chumbani kumuita ila Cha ajabu Henry hakuwepo, kijana Henry alitafutwa huku na kule wala hakuonekana, Simu yake nayo wala haikupatikana, maana kwa kipindi hicho Henry alikuwa kanunua Simu Tayari.


Japo kuwa Henry alikuwa na uchovu wa kufa Mtu ila Siku hiyo alijikaza mbele ya Fatuma, kiukweli Fatuma naye Siku hiyo alipata burudani kabambe tofauti na Siku ya kwanza, na hiyo ilitokana na kwamba Henry alikuwa hajakamia shoo yaani alikuwa anaenda taratibu taratibu kutokana na uchovu.


"Henry wewe ndo mchumba Wangu utakaye nioa na naahidi yeyote ntakaye gundua ana tembea na wewe ntang'oa pua yake, hata Isabella naomba achana naye kabisa, Henry kwa Saiz nipo tayari kufanya lolote kwa ajili yako" kutokana na utamu ambao Fatuma alikuwa hajawahi pata Kabla alijikuta kila aina ya maneno yanamtoka.

Basi Mida ya saa mbili Usiku wawili wale ndo walirudi ila kwanza alitangulia Henry kuingia ndani, na baada ya kama Nusu Saa kupita Fatuma ndo aliingia na walifanya hivyo ilimladi wasijulikane kwamba wametoka pamoja.


"Heeeee!! Fatuma ulikuwa wapi Muda huu!?" Baada ya kuingia tu ndani Fatuma alianza kuulizwa maswali na ndugu yake.


"Filomena nilikuwa na Zena kuna sehemu tulienda!" Fatuma alidanganya!


"Fatuma umeanza uongo, Muda huu nimeongea na Zena Kasema yeye yupo hosteli, na pia nimempigia Nicki Kasema haupo naye naomba uniambie ulikuwa wapi!?" Filomena alimbana ndugu yake.


"Filomena we vipi kwani we umekuwa mzazi Wangu kunihoji maswali yote hayo, haya nilikuwa kudanga si ndo unavyo taka" Fatuma alijibu kwa nyodo.


"Heeeee!! heeeee! Majibu gani hayo unamjibi mwenzako!?? Yaani unaulizwa kwa ustaarabu unajibu utumbo Fatuma Ebu sogea hapa!!" Mama Filomena aliingia Muda ule ule, kwanza ilibidi amshike binti yake sikio na kuanza kumfinya.


"Pumbavu! We Mtoto umekuwaje unataka utupatie ujauzito hapa nyumbani eee!?. Sasa sikiliza yaani kama hamna Vipindi vya Usiku huko chuoni, hapa nyumbani mwisho saa kumi na mbili sawa eeee!?" Mama Filomena aliongea kwa ukali na Muda huo Henry naye ndo alitoka chumbani kwake.


"Eheeee na wewe ulikuwa wapi tokea saa kumi na moja hujaonekana hapa nyumbani!?" 


"Aaaaa!! Nilikuwa kuangalia mpira hapo bondeni kulikuwa na kimechi pale uwanjani" Henry aliamua kudanganya na kweli uongo wake ulieleweka.


Basi Muda wa chakula ulifika familia nzima iliketi mezani ila Mama Filomena alikuwa anajiwazia kwenda kupata burudani kama jana yake.

Baada ya chakula kama kawaida watu walianza kuangalia TV, Mida ya saa nne kila Mtu alichoka na kuingia chumbani kwake, ila Isabella yeye alikuwa anazuga zuga na Siku hiyo alitaka kuona ni wapi wawili hao wanalala, maana usiku wa jana yake alitafuta Usiku kucha hakuwaona.


Henry akiwa anataka kuingia chumbani kwake aliitwa na Mama Filomena, basi Mama huyo alimkonyeza Henry na kumpa ishara kwamba wakutane kule kule.

Kiukweli Henry alikuwa kachoka kupita kiasi yaani alikuwa hana Hamu ya kufanya mapenzi tena.


Henry ilibidi tu atii amri kutokana na ahadi Tamu ambazo alikuwa kapewa na Mama yule.


"Duuuu!! Hapa nisipo tumia akili ntakufa najiona" Henry akiwa ndani ya bajaji kuelekea hotelini alikuwa anajiwazia mawazo ya kila aina.


Isabella aliishia kuona tu watu wanapanda Bajaji barabarani bila kuelewa wanaelekea wapi.


Basi Siku hiyo Mama Filomena alilala na Henry japo shoo ya Henry Siku hiyo ilikuwa tofauti na ya Siku zingine yaani ilikuwa ya kawaida.


Basi kama kawaida Mida ya saa kumi na moja Henry na Mama Filomena walirudi nyumbani.


Kulipo kucha asubuhi ilibidi Sasa Henry atumie akili kana kwamba anaumwa, maana alijua fika watu wote wakiondoka Isabella ataanza usumbufu wake, na Henry alikuwa hampendi Isabella hata kidogo sema basi tu kwa vile binti huyo alikuwa anamtishia.


Ni kweli Henry asubuhi ile alibaki kalala na kila Mtu alijua kwamba anaumwa.


"Isabella ebu nenda kanunue mseto pale pharmacy huwenda ni maralia, maana hizo dalilli za maralia kabisa" Mama Filomena baada ya kuona mchepuko wake anaumwa basi ilibidi achukue jukumu na kweli Isabella alienda kununua dawa.


Basi Henry alizuga kuumwa pale nyumbani karibia Siku tatu huku akiwa Hafanyi kazi yoyote Zaidi ya kula na kuangalia TV, na kweli kila Mtu aliamini Mtu huyo anaumwa ila Henry kwenda hospitali ndo aligoma kabisa.


Yaani ndani ya hizo Siku tatu Mama Filomena aliona ni kama mwezi hivi kutopata huduma kutoka kwa kijana huyo.

Basi siku ya nne Henry alionekana kapona na alianza kufanya kazi zake kama kawaida, na Siku hiyo ilikuwa Jumamosi.


"Henry ukimaliza Kazi twende bichi basi tukatembee tembea au we unasemaje!?" Basi Henry Siku hiyo akiwa anatengeneza tengeneza bustani Mara Filomena alikuja na kumpa maneno hayo.

Henry kwakuwa alikuwa hajawahi kwenda bichi alikubali kwa Furaha, na pia Henry alikuwa anajua Filomena huwenda mambo ya mapenzi mapenzi hayajui, maana tangia afike binti huyo hakuonekana kushobokea mambo ya mapenzi.


Muda huo wawili hao wanazungumza nje naye Isabella alikuwa anapiga akili gani atumie ili akale bata na Henry maana ilikuwa ni Siku nne zimepita bila kupata utamu, naye Mama Filomena alikuwa anajiwazia Jinsi watakavyo peana mambo usiku.


Muda huo Fatuma yeye alikuwa katoka Kidogo kwenda kwa bwana yake Nicki na Siku hiyo Fatuma alikuwa kapanga kwenda kumchana jamaa yake kwamba waachane, maana alikuwa kapagawa na kijana Henry.

Basi Henry naye alifanya kazi haraka haraka na mchana ile alimaliza kazi ambayo alikuwa anafanya, baada ya hapo aliingia ndani na kwenda kujiandaa.


"Henry vipi wapi unaenda mbona umependeza hivyo!??" Akiwa anatoka, Isabella baada ya Kumuona kijana Henry ilibidi aulize na Muda huo naye kichwani mwake alikuwa kapata akili ya kwenda kulipia hata lodge ilimladi akapumzike na Henry.


"Aaaaaa!! Isabella tunaenda bichi na Filomena!! Kwani vipi!" Henry akiwa hana hata wasiwasi alijibu kwa kuwa alikuwa hajui Lengo la Filomena.


"Okay basi na Mimi naenda Nisubirini" Isabella akiwa kajawa na wivu aliongea an kuingia chumbani kwenda kujikwatua, baada ya dakika kama kumi Isabella alitoka huku akiwa kapendeza kweli kweli ila baada ya kutoka nje alikuta wawili wale tayari washatoka, maana Filomena aligoma kwamba wamsubiri Isabella.


Isabella akiwa anshangaa shanga pale nje Mara kwa mbali aliona Gari ya kifahari inaingia maeneo yale na alikuwa ni Mr Madini karudi toka safari zake.


Je mchezo huu utaishia wapi na je kipi kitajiri baada ya mwenye familia yake kugundua!??


Itaendelea........


Usikose sehemu ya 8


GUSA HAPA KUSOMA SEHEMU YA NANE (8)


 

Chapisha Maoni

Join Our
Whatsapp Group